AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Bukinafaso wakitaka washinde waabadili mbinu za kufunga lazimaa waanze kutumia winga! Hii ya kutaka kupenya kati kati ya mabeki itakua ngumu kufunga
 
Refa katoa penalti ya bure. Wenzake wanaenda kumwambia. Akirudi anabalance mambo kwa kuwapa Burkina penalti. Washindwe wenyewe.!

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Refa katoa penalti ya bure. Wenzake wanaenda kumwambia. Akirudi anabalance mambo kwa kuwapa Burkina penalti. Washindwe wenyewe.!

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD

Aaah!wewe unaishi ulimwengu wa wakati ujao?ngoja nisubiri nione
 
Mpira unakua mzuri sasa Wanaigeria wajiandae kama watakutana na Bukinabe
 
Mpira unakua mzuri sasa Wanaigeria wajiandae kama watakutana na Bukinabe

Kwa maforward hawa ninaowaona hamna kitu! Wanakosa sana magoli.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
Dah hawa bukinabe inabidi wapunguze pasi wakifika kwenye penalty box
 
Naiombea Ghana ishinde sababu naipenda.!
 
Yaani wangetulia hawa mambo yangewanyookea

Kuna uwezekano mkubwa mambo yatawanyookea... kama wataendelea kujituma kama walivyokuwa wanafanya kwenye 90 mins na kama refa atawabeba Ghana kama alivyofanya kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom