AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Mkuu unaangalia ama? Kipa aliguswa wapi pale?

mkuu nilipenda Ghana washinde, ila kwa huu ujinga wa refa bora wafungwe tu..refa hana hata mshipa wa aibu...sasa hivi nimehamia Brazil na England kwa sababu ya ubabaisha wa refa.
 
Hata wakitolewa sio mbaya Dunia nzima inajua wameonewa {Burkina Faso}
 
mkuu nilipenda Ghana washinde, ila kwa huu ujinga wa refa bora wafungwe tu..refa hana hata mshipa wa aibu...sasa hivi nimehamia Brazil na England kwa sababu ya ubabaisha wa refa.

Vp huko nani anongoza?
 
Aaah kazi ipo bukinabe nao wanakosa hapa!
 
Wakifunga hii itakuwa nitolee ... kafunga
Bonge ya penati utafikiri Pirlo vile
 
Back
Top Bottom