AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

Hongera Nigeria, hongereni pia wana Burkinabe mmeonyesha mnaweza na mmetupa fainali yenye upinzani.
 
Nigeria mpira umeisha kabisa,wameshinda ila kiwango chao sio kama kile!wanaogopa hata kivuli chao,wanapoteza mipira baada pasi 3 tu tena wanampa adui!waimarishe under 20 na 23 labda itawaokoa!Egypt najua wanajipanga sana sasa!subiri miaka 3 hivi!
 
Ha ha haaaa, ila usijali sana, kuwa mshindi wa pili pia mmejitahdi. Kuingia finale pia ni ushindi.
KOKUTONA kwa nini timu yako ya Taifa unalo ishi inafanya vizuri mechi za kupimana ubavu kwenye michuano ya kushindana inakuwa msindikizaji hata Somalia inaweza kuifunga?
 
Last edited by a moderator:
Nigeria mpira umeisha kabisa,wameshinda ila kiwango chao sio kama kile!wanaogopa hata kivuli chao,wanapoteza mipira baada pasi 3 tu tena wanampa adui!waimarishe under 20 na 23 labda itawaokoa!Egypt najua wanajipanga sana sasa!subiri miaka 3 hivi!

wameshinda kwa bahati tu, ile ngoma ingeenda 120 ungeona mziki wa Burkinabe
 
KOKUTONA kwa nini timu yako ya Taifa unalo ishi inafanya vizuri mechi za kupimana ubavu kwenye michuano ya kushindana inakuwa msindikizaji hata Somalia inaweza kuifunga?
fidel una uchokozi na TTFF wewe. Tatizo la Tz moja,siasa imeingia kila mahali, mbili viongozi walio wengi ndani ya organizations za mpira wanaingia kwa self interest, wadhamini na sponsors pia wanadhanimi mpira pale tu matakwa yao yanapotimizwa. Commitment na accounatability pia ni shida. Utaifa pia haupo. Kila mtu anaangalia ataingiza nini mfukoni.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…