Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,183
- 864,523
Kapata stahiki yake... Alale panapomstahiliWakuu Mwanadada mfanyabiashara na mtu maarufu mitandaoni kutoka Nigeria, Amelia Pounds mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia akiwa kwenye upasuaji wa kutengeneza shepu huko New Delhi India.
Mwadada Amefariki Dunia Wakati akiwa hospitalini Wakati zoezi la Upasuaji Likiendelea.
Week iliyopita Mwanadada Maarufu Kutoka Kenya Vera Sidika aliwaonya Akina Dada wasifanye Upasuaji wa kuongeza shape.
View attachment 2382555
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app