Afariki Dunia Akitengeneza Umbo Lake

Afariki Dunia Akitengeneza Umbo Lake

Wakuu Mwanadada mfanyabiashara na mtu maarufu mitandaoni kutoka Nigeria, Amelia Pounds mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia akiwa kwenye upasuaji wa kutengeneza shepu huko New Delhi India.

Mwadada Amefariki Dunia Wakati akiwa hospitalini Wakati zoezi la Upasuaji Likiendelea.

Week iliyopita Mwanadada Maarufu Kutoka Kenya Vera Sidika aliwaonya Akina Dada wasifanye Upasuaji wa kuongeza shape.

View attachment 2382555

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alitaka akifanikiwa aje kuturingishia mjini Instagram
 
Wakuu Mwanadada mfanyabiashara na mtu maarufu mitandaoni kutoka Nigeria, Amelia Pounds mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia akiwa kwenye upasuaji wa kutengeneza shepu huko New Delhi India.

Mwadada Amefariki Dunia Wakati akiwa hospitalini Wakati zoezi la Upasuaji Likiendelea.

Week iliyopita Mwanadada Maarufu Kutoka Kenya Vera Sidika aliwaonya Akina Dada wasifanye Upasuaji wa kuongeza shape.

View attachment 2382555

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na hawa wapopo wanavyojua kuongea, sasa hivi atakuwa anawapiga mikwala waliomkarabati ikashindikana
 
Alitaka kutufundisha nini huyu malaya mkongwe, ili iwe nini hiyo shepu, upumbafu tu unawasumbua hawa watu, alazwe anakostahili
 
Wanaijeria walivyo nashepu mbaya siku hizi huwezi wajua!kila mtu anashepu na kujichubua wanajichubua pua zimefanyiwa surgery huez mjua kama mnijeria tena,,,Noma sana,,,Watu wamegoma kujikubali!
 
Iwe fundisho kwa vikongwe wote wa bongo wanaojiita ma celebrite, ambao wanakwenda kulichezea hekalu la roho mtakatifu kwa upasuaji yakirudi yanaanza kujifanya ni matoto madogo, na sauti yanaigiza ya kitotototo kumbe kuna baadhi ya nywele hata zilizojificha zimeanza kubadilika kuwa nyeupe. Kucha kutwa yanafanya bearth day lakini tarehe za umri yanarudisha nyuma. Kila siku yanaolewa na kuachika kwa sababu wanaowapenda wanadanganywa na yale ma make up sasa siku wanapokuja kujisahau bila kujipaka jamaa anashtuka kumbe nilibeba kikongwe? analala mbele

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kuna mdada anasoma huu uzi huku yuko na ticket yake tayari mfukoni anatusonya tu 😃
 
Wasichana inabidi wapende tu miili waliyopewa na Mungu.

Leo hii kuna njia za kufanya kujiamini na mwonekano wako. kuna mazoezi mtu anaweza kufanya kama anataka umbo lake liwe flexible na nzuri kuliko hao celebrities tunawaona huko kwenye tv na mitandao ya kijamii.
 
Na bado dada zetu hawajifunzi na hizi mambo. Kim kardashian, Vera sidika hao wote walikuwa waumini wa hizi plastic surgery lakini wameshaona ni miyeyusho.

Ifike kipindi dada zetu wajithamini vile walivyo.
Kejeli za wanaume ndio zinawaponza hao mnaowaita dada zenu.
 
Iwe fundisho kwa vikongwe wote wa bongo wanaojiita ma celebrite, ambao wanakwenda kulichezea hekalu la roho mtakatifu kwa upasuaji yakirudi yanaanza kujifanya ni matoto madogo, na sauti yanaigiza ya kitotototo kumbe kuna baadhi ya nywele hata zilizojificha zimeanza kubadilika kuwa nyeupe. Kucha kutwa yanafanya bearth day lakini tarehe za umri yanarudisha nyuma. Kila siku yanaolewa na kuachika kwa sababu wanaowapenda wanadanganywa na yale ma make up sasa siku wanapokuja kujisahau bila kujipaka jamaa anashtuka kumbe nilibeba kikongwe? analala mbele
wema sepetu
 
Wakuu Mwanadada mfanyabiashara na mtu maarufu mitandaoni kutoka Nigeria, Amelia Pounds mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia akiwa kwenye upasuaji wa kutengeneza shepu huko New Delhi India.

Mwadada Amefariki Dunia Wakati akiwa hospitalini Wakati zoezi la Upasuaji Likiendelea.

Week iliyopita Mwanadada Maarufu Kutoka Kenya Vera Sidika aliwaonya Akina Dada wasifanye Upasuaji wa kuongeza shape.

View attachment 2382555

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vifo vingine ni vya kujitakia.
 
Ke wa kizazi hiki cha 21st C ni mizigo sana.

MADHARA YA PLASTIC SURGERY & MIKOROGO:

√ Kansa za ngozi na damu.

√ Kulegea kwa nyama na misuli ya mwilini.

√ Kuchuja haraka(Kuzeeka mapema).

√ Kunuka harufu mbaya ya mwilini kama kuku wa kizungu.

√ Kubabuka babuka ngozi kama imemwagiwa tindikali.

√ Kipochi manyoya kuwa baridi na bwawa la mtera.

√ Kupoteza personality ktk Jamii na kubaki na majuto daima.

USHAURI:

1. Kabla ya kufanya jambo lolote hakikisha kwanza unachunguza faida na hasara.

2. Si kila kitu ni cha kuiga hapa duniani ni heri upitwe na vingine uonekane mshamba kwa faida ya maisha yako ya sasa na baadaye.
KWELI WALIO JICHUBUA WANATATIZO HILO, PENGINE NDIO SABABU YA KUFANYA NYUMA YA NYUMBA
 
Back
Top Bottom