Wanawake mna kiranga gani?

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,607
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie.

Nini maoni yako
acf241709fe171e11c1db597424d4af2.jpg
 
Sasa mbona amekuwa kama jini?huyo Surgeon atakuwa muuaji tu hakuna namna.
 
c4e9fdb6799bd4751352537a912a64c7.jpg




Mbona iyo picha ipo kama wrapped Photoshop!!

Kweli dunia haiishiwi vituko

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom