Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

Kwani akibaki hivyo alivyo kunatatizo gani? Mi naona huo ni UPUUZI..
 
Hizo ni Imani za kishirikina kuna muunganiko gani hapo.I don't believe the science behind this@Nichumu nibebike .Ama kweli aliyosema Trump yanajidhihirisha tunahitaji kujitafakari Waafrika
 
Loooh nampa pole ila afumbe macho afanye tu alafu amuamishe mwanae huo mtaa kama ni shule ampeleke kama ni kukaa kwa ndugu yake ampeleke tu..
 
NI KAMA VILE UNAVYO-BOOST BATTERY YA SIMU ILIYOZIMA KABISA KWA KUTUMIA CHAJA YA KOBE....
 
Nadhani umeamua kuzunguka mbuyu. Pole sana mkuu muombe mother mgusanishe kwa sababu ndiyo tiba pekee kwa hilo tatizo lako.
 
Inasemekana hauingizi kabisa ila kumuonesha papuchi mwanae wa kumzaa ndio mhh
Kama ndio tiba yake hanabudi afanye maana umenikumbusha kipindi najifungua nami niliambiwa hivyo na marafiki zangu shughuli Ilikuwa kumuogesha sasa yaani hizi imani wacha kabisa ndugu yangu
 
Zamani walikuwa wanasema kitovu kikiangukia kweli inakuwa hivyo;
ila hii ya kukutanisha na uke wa mama ndo nimeisikia leo;
Mm niliambiwa ndio Dawa yake yaani sitaki kukumbuka nilivyokuwa nailinda dudu ya mwanangu isiangukiwe na kitovu imani hizi acha tu ndugu yangu
 
Sasa huyu mama kuanzia mwanaye ni mdogo alikuwa aoni kama mwanaye asimamishi?
 
dawa yake ipo kama kijana ni hanithi wa kuzaliwa, kuna dawa inapatikana sana ujaluoni inapakazwa kwenye tupu ya mbuzi na kugusishwa mk.nd.uni. sio masihara nna shuhuda 2 moja kwa anko wangu.kuna mtaalam yuko dar na malipo ni baada ya matokeo. siutani
 
afrika bado safari ni ndefu sana.....bado najiuliza hivi mtego wa panya uligunduliwa Africa?
 
Atafute dawa ya usingizi kijana alale aende ajigusishe kama inawork!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…