Afanyacho Huyu Ni Sahihi?

Kama hao hapo juu hawana makosa kwa kuchoma kitambaa (bendera), huyu hapa chini ana kosa gani kuchoma karatasi (Quran?)

Kama hao hapo juu hawana makosa kwa kuchoma kitambaa (bendera), huyu hapa chini ana kosa gani kuchoma karatasi (Quran?)

Hana kosa lolote sijui kwanini tena kashindwa kutekeleza ahadi yake. kwani hata Waislam kama wangelikuwa wajinga wangelichoma Bible. lakini wanajuwa kuchoma bible hakukna faida yoyote itakayo patikana sawa na kuchoma Quran. Quran zimesha chomwa nyingi saana, me namshangaa sana huyo jamaa, kuchoma Quran si chochote si lolote ktk Uislaa. Quran zimesha chomwa nyingi sana na bado Uislaam haujatetereka. mi naona anajisumbua tu, na nadhani kagundu ndio maana kaacha. 😛layball:
 
Kama hao hapo juu hawana makosa kwa kuchoma kitambaa (bendera), huyu hapa chini ana kosa gani kuchoma karatasi (Quran?)

Huyu Mpumbavu alitaka Apate Umaarufu Kuichoma Quran kama yule Mzungu aliye Mchora Kikatuni Mtume Muhammad Swala llahu alaye Wasalaam si alikuwa anataka apate Umaarufu tu. Na kama Rais wa zamani wa Marekani Bush Kuivamia IRAQ na kumuuwa Saadam hussein si alitaka apate Umaarufu Duniani?

Kama wewe
Buchanan uınavyo Kopi hizo Picha na Ku Paste humu ndani si unataka kupata umaarufu ndani Jamii Forums. Wewe Buchanan unafananisha Kuchoma bendera ya Amerika ya Kitambaa na Kuchoma Quran kitabu cha Waumini wa Dini ya Kiislam Ulimwengu mzima ni sawasawa?

Mkuu
Buchanan umesoma Shule Darasa la ngapi? Unaweza Kufananisha Kuchoma moto Bendera ya Amerika na kitabu chako unachokiamini cha ulokole yaani Kitabu cha Biblia? Acha kuweka Picha zako za upuuzi huo kama huna cha kufanya bora Soma Magazeti kwenye internet sio Kujaza Server ndani ya J.Forums. Asante
 
Kuchoma karatasi na kuchoma kitambaa vyote si sahihi.

Uislamu kama imani ya watu si kitu cha kubeza. Na wala Marekani kama nchi huru si kitu cha kudharau.

Nadhani hii siyo agenda.
 
Kuchoma karatasi na kuchoma kitambaa vyote si sahihi.

Uislamu kama imani ya watu si kitu cha kubeza. Na wala Marekani kama nchi huru si kitu cha kudharau.

Nadhani hii siyo agenda.

Siyo ajenda wakati dunia nzima ilitaharuki?
 
Acha hizo, watu wengi wanakimbia sana uislamu siku hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…