yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Hauwezi ukatenganisha vitu na watu. Selemani Msindi yupo sahihi.
hahahahahahahah sema umeshindwa kujibu hoja zake banaanaongea nadharia tu huyu mvuta ganja!
Hamna anayepinga reli kujengwa ila issue ni concentration. Yaani huwezi tumia % zaidi ya nusu ya bajeti kwenye miundombinu wakati watu wapo taabani. Mfano kilimo ambacho ni tegemeo la 70% ya labor force bajeti ya maendeleo iliotolewa ni chini ya 20% ila nguvu inawekwa kwa kununua ndege ambazo 1% ndio wanaweza nufaika je ni logic??Hauwezi ukatenganisha vitu na watu. Selemani Msindi yupo sahihi.
Kingine anachopotosha ni miradi inanufaisha watanzania kupitia ajira!! Unless ni vibarua tu ila chuma,consultancy sijui vifaa 90% ya pesa imeenda nje kwahiyo sidhani kama value ya 10% inajustify faida ya mradi kwa short term labda angeeleza kipi ambacho reli ya sasa imefeli ambacho SGR itakuja solve!!
Afande sere cjachoka kukusikiliza umeongea point zte! Eti awam ya nne ukipita mikumi twiga wanatoka nduki! Ha haha ha eti awam ya nne twiga walipanda ndege!Afande amevaa nguo na amekalia viti vya rangi za chama cha ACT 😀
Kingine anachopotosha ni miradi inanufaisha watanzania kupitia ajira!! Unless ni vibarua tu ila chuma,consultancy sijui vifaa 90% ya pesa imeenda nje kwahiyo sidhani kama value ya 10% inajustify faida ya mradi kwa short term labda angeeleza kipi ambacho reli ya sasa imefeli ambacho SGR itakuja solve!!
Pia sio kweli kwamba faida ya pesa za ndege na miradi mingine ndio inarudi kusaidia mikoa ya watu masikini. Anachotakiwa kufahamu toka rais magufuli anaingia madarakani bajeti ya maendeleo haijawahi kamilishwa walau 70% ya malengo mapato huwa yanaishia kulipa madeni na mishahara na ndio maana tunakopa ili kutekeleza miradi. Kilimo ambacho watanzania maskini hutegemea kinatekelezwa bajeti kwa chini ya 20% toka awamu hii iingie sasa ni pesa gani hiyo ya mapato inayoenda kwa maskini??
Anasema mvua zimezidi sababu magufuli amedhibiti ukataji miti!! Miaka 4 miti yake ndio imebadili jiografia ya nchi?? Hvi afande sele hafahamu tu hata aina za mvua?? Hajui hta role ya msitu wa Congo kwenye mvua za Tz??
Afande yupo xawa!