Afande sele aachia bonge la ngoma isikilize hapa

Afande sele aachia bonge la ngoma isikilize hapa

Hakuna lolote, hapo anajipendekeza ili aonewe huruma apewe ubunge wa vitu maalum
 
Halafu anataka apewe ubunge,ndo maana p funk alimtandika vibao studio aje hapa asome hii comment maana najua yupo humu
Haha unakumbuka hili tukio?
images-16.jpg
 
Asubiri ukuu wa wilaya..[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyu tatizo sio bangi ,tatizo ni akili yake tu yeye kama yeye binafsi,
Unaweza kuwa sawa mkuu, au usiwe sawa

Unajua ganja ina fata mindest yako tu

Kuna guys wakivuta wanakuwa calm na smart sana katika maamuz na mambo yao.

But wengine ni ovyoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom