I feel like crying for Maira, I really do.
Wewe lia tu....wala usione aibu....
Aibu is for the self conscious, and you know I am the furthest from that.
Now let's not distract this observance of the life of one of the most prominent lawyers to bless the Tanganyika Law Society.
I feel like crying for Maira, I really do.
For the short span of time I was acquinted with him, advocate Maira was one of the most liberal advocates, touching "politically incorrect" cases that many advocates would not touch with a 100 meter pole, but not Maira, he really understood the concept of right to representation.
Marekani yuko wapi jamani?
In Eternal Peace shall he rest.
May all beings be enlightened.
Lakini alitia aibu yeye na Mkono walipokuwa wanapigana madongo hadharani wakibishana nani ana hela zaidi, mara oooh, wewe umechukua miaka minne kumaliza kakozi ka mwaka mmoja, mara mimi ni lawyer mtenda maajabu kuliko wewe. Ilikuwa ni kuvunjiana heshima na proffesion yao mpaka Bar wakawaambia knock it off.

Nani ambaye hajawahi kutia aibu?
Na ni nani ambae hajawahi kutetea liberal cases?
Tena tumekubali tu hiyo claim, for granted, ningeweza kukwambia nitajie hiyo kesi tata ambayo aliikubali, na ni nani aliikataa, na kwa nini ni tata, na alilipwa kiasi gani, na kwa nini attorney mwingine angekataa huo mshiko.
You don't wanna go here. Umefiwa, kama ulivyosema.
Could someone please PM me with the details. I would like to get in touch with whoever he was living with at the time of his demise. I am a close relative. OMG!
Nyani,Bimkubwa, wewe ni ndugu wa karibu na huna taarifa zozote zinazohusiana naye? Kwa nini usiwatafute ndugu wengine?