ADVICE: Ninunue gari aina gani?

Haswaaaa...umenena...au kauza shamba la urithI.may be may be

Bado natafakari juhudi binafsi za mtoto wa kike zilimzofanya akameki mil7 kwa mshaara wa laki 3! I don' wanna keep the receipt so i dont buy her bull.ish or im gonna learn today
 

Watu wengine wana mashauzi ya kiboya sana hiyo taa ya laki 6 kasoro aliinunua kwa pesa gani wanayolipwa na HESLB?? Safi bora umchane tu huyo boy.a
 

Achana na magari wekeza kwenye viwanja,nenda maeneo ya nje ya mji kwembe,mbezi madare,bunju mapinga,kisalawe,geza,mbutu,chanika nunua viwanja kwhyo milion 7 unaweza ukapata hata viwanja vi5 vya bei ya 1m mpaka 2m hakikisha viwe na njia,ukivitunza vizuri kuvilima na kupanda miti na maua baada ya mwaka unaweza ukapata hata mil 15 hadi 18 kama ukiuza,msikilize tofali alivyokueleza
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine wana mashauzi ya kiboya sana hiyo taa ya laki 6 kasoro aliinunua kwa pesa gani wanayolipwa na HESLB?? Safi bora umchane tu huyo boy.a

Jamaa ni mbulura sana anakuja kutuongopea wazi wazi taa ya laki 5.9 kanunuaje wkt hana kazi alikuwa anasubiri kwenda chuo it means alisomeshwa na bodi amesahau kwamba voda walitoa hz gari mwaka 2010 na kipindi hicho ndo alikuwa anasubiri kwenda chuo sasa siju huyo alianza lini hcho chuo na alimaliza lini?
 
Hata usizimie ndugu unadhani daladala zinaingia Mlimani city??
ahahaaa kumbe ni swaga za mlimani city....hivi bajaji au bodaboda haziruhusiwi pale?
 
achana na gari wewe, itakucost mbunye yato tu kuimaintain

tafuta vyanzo vya pesa, sio vyanzo vya matumizi
 
Muache atangulie
kweli kabisa....tumuache akikua ataacha
ila nimejifunza kitu usione watu wapo kwenye magari yao ukadhani wote wapo safi...kuna gari ikikugonga mwenyewe hata hela ya panadol kumbe hana..tembea kwa uangalifu sana barabarani ...hela zingine za wasiwasi sana
 
Au unatamani kushikilia remote na funguo mkononi akiwa mlimani cty!
 

Mi nakushauri hiyo tafuta kiwanja nunua magari yapo ..Tafuta kiwanja we mdada ununue?
 
Mpwa Lushoto inafika?

mpwa imepiga route za Lushoto za kutosha, hivi ninavyosema ndio nimerudi Jana jioni na ninetumia wastani WA lita 28 Tu kwa 374km. DUET ilikua na maparachichi, karoti, machungwa, ngongwe, abiria na mimi dereva, nimetembea hadi 140km. Iko vizuri japo nataka niiuze sasa
 
Mie niko mwanza, so huwa nafanyia BP ya huku huku Mwanza, mkabala na PPF plaza

Me mwenyewe nilishangaa....service si chini ya bei hiyo....la sivyo za uchocho ndo itakuwa hivyo...ila bibie mbona bp nasikia wako juu kibei si chini ya kilo...nielekeze hiyo bp ulofanyia niende next time
 
Mmenikumbusha wimbo WA ROSE MUHANDO, WOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO. Kuna maneno yanasema, acha kujifunza kwa walioshindwa, walioshindwa wana maneno mengi, utawakuta mchana kutwa vijiweni, Fulani Ana gari zuri amehongwa na Fulani, Fulani Ana nyumba nzuri ameibia kampuni.....you can google it. Una mafunzo mengi hasa kujibu hoja ya milioni Saba kwa laki tatu
CC: miss username na Paloma Smile na wengineo
 
Last edited by a moderator:

Mpwa ni kweli usijifunze kwa walioshindwa. Nakumbuka kulikuwa na uzi wa gharama za ujenzi mpwa mle ndani watu walitoa figure ambazo kama unajifunza kwa walioshindwa unaweza usijaribu kabisa !
 
Leta pesa ununue corolla E 111, usiumize kichwa na mark II hizo, utachoka akili inapokuja spare...achilia mbali servicing
 
Umeona unavokurupuka, soma tena maelezo yangu, nmetembea na gari nikiwa nimemaliza k.6 hehe inakuuma? then ckusema nmeinunua

wivu, kuropoka, sawasawa na umaskin ulio nao

 
nimeajiriwa mwaka huu kama mwalimu
cjakurupuka jipange

 
Unajua JF kuitwa great thinker sio wote wenye cfa hizo wengne mburura tu, nani kaaema nilitumia fedha ya mkopo, na nani kasema nilkuwa napata mkopo, umekariri.

nmesema nilimudu gari ya zawadi nikingali hata sina kipato, sasa nilipata wapi fedha ya kununua taa hiyo ni mimi, i just wanted to show her that she can, niuamuzi tu, anunue gari

then nijishauwe kwako ili? maana hunujui, ckujui, hapa c fb. take kea
Watu wengine wana mashauzi ya kiboya sana hiyo taa ya laki 6 kasoro aliinunua kwa pesa gani wanayolipwa na HESLB?? Safi bora umchane tu huyo boy.a
 
Carina TI,Spacio au Suzuki swift....hakikisha unaendelea na juhudi binafsi lakn,maana mshahara hautatosha kusupport both ww na gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…