asipokuwa na hiyo gari atakufa?Azungushe kwenye nini?mimi nadhani kwa hapa mjini kama unafanya kazi ya kuajiriwa ya kuingia saa mbili asubuh tu jion saa 11, basi gari ni muhimu sana!few things u can do for let's say 7 Million,may b kama wapenda kulima au kufuga huko nje ya mji!otherwise 7 million haiwez kutosha kwa biashara isiyokupa headache! Kumbukeni kufungua biashara sio kazi,kazi ni usimamizi!
Muda utakaopoteza vituoni kama huna gari ni mkubwa sana!
...dada yangu "miss username" mshahara wa laki3 ! umeweza kudunduliza ukafikisha 7mil. !
- je hizo pesa hazifungamani na MKOPO kutoka taasisi za fedha / za mikopo?
-
Kaka nunua hii gari hapa chini bei yake kwenye mtandao ni $ 271
http://image-cdn.beforward.jp/files/pictures/201304/115309/BF1205
Lakini huyu nafikili siyo kaka maana jina lake ni [USER=133927]miss username[/USER]
Kaka nunua hii gari hapa chini bei yake kwenye mtandao ni $ 271
http://image-cdn.beforward.jp/files/pictures/201304/115309/BF1205
Lakini huyu nafikili siyo kaka maana jina lake ni [USER=133927]miss username[/USER][/QUOTE]
(Bora umenisaidia mimi sio kaka)
Hilo gari zuri ila muundo wake kwakweli hapana mi siupendi
Hazifungamani na mkopo wa aina yoyote ni juhudi zangu binafsi
yes hii ni gari nzuri sana
suzuki swift i adore the cars japo mimi natumia grand v
Naomba uzoefu kaka! Kwa laki3 mpaka unameki m7 umefanyajefanyaje! Maana kuna maisha mengine nayo yanahitaji ka laki3 hakohako duh!!
Naomba uzoefu kaka! Kwa laki3 mpaka unameki m7 umefanyajefanyaje! Maana kuna maisha mengine nayo yanahitaji ka laki3 hakohako duh!!
Acha kuongopea watu mshaara wa laki 3 umedunduliza mil 7? mmh i dont buy that bull.ish,kama ujakopa basi umetumia uchumi uliokalia kujiongezea kipato that sit,kama unabisha weka huo mchakato ulivyozikusanya,kupata mil 7 inabid uiweke kwa mda wa miaka 2 bila kutumia hata sent na madada wana matumiz makubwa sana kwa mwezi hata kama unakaa home kazini lazima utakuwa unakula unatumia nauli unanunua nguo vipodozi etc
watu wengine ka wase** jamaa kaomba ushauri wa gar ninyi mnaanza kuoji alikopatA pesa, ya nn ili iweje? na iwasaidie nn? watu wauswahilini bwana afu wengi.wa hivi haeana hata pikipiki, bro go ahead, nenda ufanye savei yard ukiwa na mtu mzoefu ka upo dar, laki ratu c kikwazo nikupe uzoefu, voda walinituza mkoko kwenye ile bahatinasibu yao kama unakumbuka, ckuwa pindi hicho na ajira ndo nilikuwa najiandaa kwenda chuo.
kaka niliimudu gari na hyundai vifaa ni bei balaa vilikuwa havipatkani zaid ya pale hyundai nyerere road. kwa mf: niligonga taa za mbele moja ilikuwa inauzwa laki 5 na 90, lakin ckuwai ishindwa, mpaka leo nnakaz chombo safi.
Nina
kiasi cha shilingi 7mil na ninataka kununua usafiri wangu binafsi.
Naombeni wenye uzoefu na magari mnishauri ni aina gani ya gari naweza
kuipata kutoka show room kwa kiasi hicho cha fedha.
Binafsi nilikuwa napendelea toyota mark II ila sasa sijui bei yake
ikoje.
Then naomba kujua gharama za utunzaji gari zikoje kwa mfano inatakiwa
ifanyiwe service mara ngapi kwa mwezi.
Mshara wangu ni lak 3 kwa mwezi sina familia je nitaweza kuzimudu gharama za utunzaji gari?
Duu kweli vijana kazi tunayo vijana una mshahara wa laki 3 unataka kununua gari? Jijenge kwanza dogo kununua gari la matumizi binafsi ni kujipunguzia speed ya kukua kiuchumi.Zungusha hizo mil 7 zako ili kuja kununua gari ukiwa una raha zako zote na uwezo wa kununua fuel
Mie mwenyewe nimeshangaa, service rahisi hivyo, nimefanya service kama mwezi mmmoja umepita tena nimefanyia BP sh 70,000
Hazifungamani na mkopo wa aina yoyote ni juhudi zangu binafsi
Hata mimi nilitaka kumwambia hiyo, Spacio ni nzuri haina gharama sana. Mwaya wasikutishe mshahara mdogo utamudu, halafu ndo utachemsha akili zaidi kuongeza kipato kwa vile utakuwa na miguu.