Adventure With A Superman

Ukinitumia movies kama 2 -3 kwenye email ya babu hapo chini,...wajukuu watanikubali kwamba kweli mie ni babu yao original!!

Hivi hii speed ndiyo tulikeshanayo kutangaza matokeo ya Dr Slaa yaliyochakachuliwa??


Babu DC!

Babu, nina Series zote. Kwenye email files ni kubwa sana. PM me your contacts nitakutumia CDs/DVD's.

Mkuu hakuna matokeo yaliyochakachuliwa wala uchaguzi uliomhusisha Dr. Slaa, Rufaa zimesikilizwa hadi mwisho na Haki Bin haki imetendeka. Wote wameridhika.
 
nadhani, wanawake wote watasema ndio.

Poor me, shemale with 2 possessive husbands. :( :(

ntatoroka siku moja nije.

kongosho,at last umeamua kusema ukweli wako!hongera sana kwa kuwa mkweli!ngoja tukam-bane BOFLO naye ajiseme uhalisia wake!sio anajisingizia kuwa mwanaume!
 
kwanza nataka mende waliokaushwa na wametiwa ndimu na njaa kweli halafu ndo niendelee

Karibu sana:


images
 
Back
Top Bottom