Adventure With A Superman

Anaenda kukutupa baharini manake umezidi kumsonga na hilo deni la boss wako NN!
Atawahi kunipata? Mwenyewe bosi wangu kanikodishia mabaunsa wale wa kwenye WWE, wakiwa off kuna SWAT, Full time kuna FBI na CIA sasa yeye na hiyo jumpsuit yake tutaona.

Hiyo hela atatoa tu mi nishaibajetia wikend hii SL...
 
Daaah unapendwa na boss wako hebu niangalizie kama kuna mtu mwingine anamdai anipe na mimi kazi ya kumsaidia kudai ili niwe na mabody guard..!

Lol, We kweli kiboko khaaa, wabajetia hela hujaishika mkononi?
 
Kuna moja hivi amdai kigogo wa JF ilikuwa nikimaliza na supamani nianze hilo, hebu ongea nae akupe hiyo kazi.

Hehehee SL bajeti muhimu sio niipate halafu nianze kung'aa macho sijui pa kuanzia. Mikakati muhimu
 
Ngoja niandae cv kabisa, ila unisaidie kupiga debe mwambie kwa msisitizo kuwa nimemaliza mgambo mwaka jana...

Deni lenyewe la kupigia mahesabu liko kwa supamani?? Akikulipa ni bahati yako lol, angalia tu usijekopa vitu vya watu ukijua hela italipwa!..
 
Sawa, mgambo wa manispaa, top it up with ulinzi shirikishi sijui polisi jamii itatosha.
Supamani asipolipa nakamata mali tu...
Lolest
 
Really? If you really are: Mwambie MOD akubalidilishe ID yako uitwe WONDERWOMAN. Then utakuwa una powers fulani close to me. Nitakutafutia ID mpya siyo ya sasa uliyoshika nanihii . . . then we can have fun . . .

superman_ww.jpg

Thats my man . . .
 
If you want, you can request an adventure with Superman by making any request like to fly you around, stop any disaster etc and he will grant your request. Superman loves all people, helps them and protects them. But he is careful to go beyond the limits.

Do you want any adventure with Superman?

Yes, Adventures. This is Superman. Take any adventure with him. He prefers actions than words.

I would love some please, fly me with u
 
Khaaaaaaaa!

Mambo yamekuwa Mambo. Wonder Woman ni Kabakabana kabadili ID au ni nani?
 
such strength of superman,then save us from this tragity called polyticks which is now killing us,oohh wait i hear all the politicians carry kryptonite in their pockets thats why!
 
Back
Top Bottom