- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!
Willie!
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!

Duh! Kwa hiyo wewe unataka wote tuwe matajiri wa mali? Na hapo tutamaliza matatizo yetu?
Ivi ndio wewe ulitaka kutuwakilisha EALA?
naweza kukubali ni one way kwamba 'tumeishi kwenye umaskini mno kiasi cha kuamini kuwa kiongozi mzuri lazima naye awe maskini'..na hili tatizo litatugharimu sana huko mbeleni!..hii ni kwa sababu akili zetu hazijafunguka kuukubali mfumo wa kibepali ambao ndio unaotawala dunia kwa sasa!..mawazo yetu yamekuwa ya kimaskinimaskini sana..lazima tufike wakati tukubali kuwa kuishi kimaskini na kifisadi yote ni makosa!!
Kinachotakiwa ni kubadili 'mentality' kwanza!..hata kama tutabadili vyama kwa akili hii lazima tushikane uchawi kwa muda mfupi ujao!..kama alivyosema mh.mbatia 'let us think globally and act locally'..
umaskini wetu ni umaskini unaoanzia kwenye vichwa! Tu maskini wa kufikiri...tu maskini wa kujiongoza kutokana na kukosa fikra! Tu maskini kwa ajiri ya kukosa visionary leaders.
Bila kwanza kuhangaika na elimu itayayowezesha kutusaidia kutumia vichwa vyetu kufikiri, suala la kuupiga vita umaskini ni ndoto za alinacha
mimi utafiti wangu unaonyesha kwamba watanzania sio masikini sababu wameridhika kabisa na hali waliyo nayo na hawajawahi kuona kama ni tatizo mpaka siku za karibuni ambapo kikundi cha watu wachache ndio kimeanza kuwalazimisha waamini kwamba wao ni masikini,
Good thread..
Ishu sio umasikini tu
ishu hapa ni kuwa na taifa la kuagiza kila kitu kutoka nje
mpaka toothpick na kandambili na mikeka
hiyo ndo ishu..
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
"kazi ya kichwa si kufuga nywele tu"-Werema. "kadhalika si kunyoa kipara tu"-Raia Fulani- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!
Willie!
ishu sio kukosa kujiamini
ishu ni vision tu ndo hakuna
halafu watanzania wengi wana fanikiwa despite bad leadership
tazama banking industry now...
two biggest bank in tz ni NMB na CRDB...
tazama mapato ya NSSF ni zaidi ya billioni 400 kwa mwezi while wanachama hawafiki milioni moja
nyumba ndo kabisa watu wanajenga kila siku
licha ya kuwa Cement ni aghali mno na kodi ni kubwa kwa kila malighafi za ujenzi
na wanajenga bila mikopo
watu wanaweza na wanajiamini..
ishu ni lack of leadership with vision...
hiyo zamani,kwa sasa adui mkubwa ni mafisadi wanaotufanya tuwe maskini
- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!
Willie!
The B, vipi za masiku??
Kutoka kwenye maneno yako haya nakumbuka maneno ya jamaa angu mmoja alisemaga kuwa "Hii nchi ipo perfect kabisa ila kuna kijisehemu kidogo tu mtu/watu anatakiwa akitwist, yaani kidude kidogo tu ukikisogeza tu hivi, mambo mengineee yooote yanakuwa saaafi"
Nilicheka sana na sikumuelewa, ila hapa umeiweka clear sana!
Adui yetu mkubwa zaidi ni CCM na umaskini wetu umeletwa na CCM, UAMSHO nayo imeletwa na CCM, Kila unachokiona kiko hovyo kimeletwa na CCM, CCM NI JANGA LA KITAIFA, CCM ni Hatari zaidi ya UKIMWI, UKOMA na Magonjwa mengine Mengi Sugu. Kuendelea kuwepo kwa ccm ni KUANGAMIZA MAISHA YA WATANZANIA na Raslimali zake. Na CCM ni CHUKIZO hata Kwa MUNGU na Alaaniwe kila anaesaidia Uwepo wa CCM!