William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #21
unaweza kuwa na vision lakini ukawa na udahifu kwenye 'execution'. It is important to know the interpendence between the two. Na excution ina-include hata communication, kwa sababu kama hukuweza ku-articulate your vision na watu wakailewa vema basi unaweza kuonekana kama uko -aloof. Ref, thabo mbeki, pamoja na minyukano ya ndani ya chama chake cha anc, mbeki alikuwa na tatizo la kuwashawishi 'komrade' wenzake kuwa maamuzi yake yalikuwa na manufaa mapama kwa chama na nchi kwa ujumla. In the end wakingia kwenye kuwindana.
we ndo unaongea pumba......adui mkubwa ni wanaofanya wananchi wawe maskini
"Success in almost any field depends more on energy and drive than it does on intelligence. This explains why we have so many stupid leaders."- TAIFA HALIWEZI KUJITOA KWENYE UMASIKINI KWA KUBAGUA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE WAKE, NI MPAKA TAIFA LITAKAPOELEWA KWAMBA WANAWAKE NA WANAUME NI SAWA NA NI MUHIMU KWA TAIFA NDIO TUTAENDELEA!!
- I MEAN MWANAMKE KWENYE MASIKINI AKIPIGANA KWA KUCHEZA SINEMA ILI AJITOE KWENYE UMASIKINI, MASKINI WENGINE HAWAWEZI KUKUBALI, SO WATATAFUTA KILA NJIA KUMRUDISHA WALIPO WAO YAANI KWENYE UMASIKINI, SO WATAMTAFUTIA KILA MAJUNGU PAMOJA NA KUMUITA MALAYA NDIO TABIA ZA MATATIZO YA UMASIKINI!!
wILLIE!!
- The point ni Tanzania tunawezaje kuwa na wananchi wenye majumba mengi ya kifahari ambayo hayakujengwa kwa njia za mikopo toka benki? Sasa kama huna system ya mikopo, Serikali itapata wapi kodi za kuwaletea wananchi wake maendeleo?
- Hayo mengine sio muhimu na wewe unaweza kuyafanya sio kusubiri nikufanyie kila kitu ndio maana tunakuwa masikini bro, kutegemea kufanyiw akila kitu!!
Willie!!
teh teh MTOTO WA MALECELA FUNGA KAZI......SOURCE AMANIha ha ha ha!
Halafu kweli mbna hatujapataga majibu ya hili gazeti?
Wamemuonea Le'Mutuz banaa
ha ha ha ha!
Halafu kweli mbna hatujapataga majibu ya hili gazeti?
Wamemuonea Le'Mutuz banaa
i genuinely thought ulikuwa na research and that you wanted people in this forum to have a meangful debate based on the findings of your research! Your point kwamba nifanye/naweza kufanya research badala ya kukusibiri wewe ni sawa, but you should have said it from the outset kwamba unachoweka hapa ni 'hypothesis' na sio 'thorough research' as your original post claims.
Kwenye kodi, sio tu kwenye majumba, our domestic revenue system is very weak. Kumbuka 80% ya watanzania wanaishi vijijini, na wanaishi kwa mfumo wa cash system, ujenzi wa nyumba included. Wengi hata bank accounts hawana let alone mambo ya bank loans.
hata hivyo, wananchi wanayo system yao wenyewe ya kukopeshana ambayo by the way inakuwa outside the 'exchequer's hand. Penye nia pana njia. Serikali imewasahau wananchi na wao wameamua kuisahai serikali kwa kuindoa kwenye trasanction zao. Ukweli tax collection kwa tanzania will take more than a week kuongelea maana kuna mapungufu mengi mno. The so called 'development partners' wameshaongea mpaka mishipa ikawatoka, economists wameamua kujiandikia papers na kuweka kwenye makabati, maybe kagame ataendelea kutumia!
- tatizo ni umeikutaje nchi, sasa kama nchi haijwahi kuwa na seriuous vision za kujitoa kwenye umasikini unawezaje kulitoa kwenye umasikini in 7 years, ndio haya haya mawazo ya kimaskini badala ya ku-deal na ishu huwa yanalilia ku-deal na personalities!!
Willie!!
- brother sio siri hili somo hulielewi sasa kwa nini usikae pembeni ukaachaia wanaolielewa!!
Willie!!
ni vema kuwasemea wenzako katika hili,lakini kumbuka kuwa umaskini wa maisha ya wananchi kila ndio unazalisha
tubepari tudogo kama ninyi,so tunakuomba usiuzumgumzie huu umaskini zungumzia ni namna gani ya kuondoa tubepari
tudogo la sivyo hakuna wa kuuona ufalme wa mbingu na inashangaza sana mtoa mada hii kuona umaskini ni tatizo kuu na
kuacha mengine ya ujinga,maradhi na mmomonyoko wa maadili.anataka kutuambia leo hii ukiwa na pesa za kutosha huna
elimu,afya duni na mtovu wa nidhamu ni sululuhisho pekee la mtanzania kuendelea si kweli.umaskini ni figa moja na kama
tujuavyo huwezi kupika chakula kutumia figa moja.utakuta wale wanaojizumgumzisha katika hili kutoa japo kila ya sukari
kwa yatima,wazee,wajane n.k hawajawai hata siku moja na hata wakifanya mpaka vyombo vya habari viwepo kiukweli
huu ni unafiki mkubwa sana.hatukatai kwamba mliipata elimu mapema tena bure lakini mmekuwa wanafiki wakubwa
kutatua matatizo ya watu na hata mnapoamua basi hapo lazima kuwe na ulaji wenu hii ni ajabu sana watu kugeuzwa
miradi.na mnapojitokeza jf ni namna ingine ya kujipendekeza kwa watawala/wanajamii eti nanyi ni waathirika wakubwa
wa masuala mbalimbali yanayogusa taifa na kwamba mnayafahamu hivyo ni vema siku zijazo mkapewa ridhaaa.hawa watu
bana hata aibu hawaoni utamkuta mezani kwake wakati wa lanchi au dinner mboga sabini makolombwezo kibao yeye
hugusagusa tu na kilibaki kutupwa ilihali kuna kaya hapa nchi ni mlo mmoja tu ambao ni wanga alafu leo anasema tatizo
kubwa hapa tanzania ni umaskini.
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!
good thread..
Ishu sio umasikini tu
ishu hapa ni kuwa na taifa la kuagiza kila kitu kutoka nje
mpaka toothpick na kandambili na mikeka
hiyo ndo ishu..
nachukukubali w malechela ni kuwa flexible humu jf big up ingawa lichama lako linatafuna nchi hii
- ndio umasikini wenyewe ninaousema, ukishkuwa nao naishia kukosa kujiamini!!
Willie!!
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
Willie! @ Facebook!!!