tatizi walio wengi humo ni mbumbumbu, ni kama mbwa akiamrishwa kamata atakama hakuna kujiuriza kwa niini nakamata. Hawa jamaa huwa wako tayari hata kuumiza kama si kuua hata ndugu zao, Nafikili mafunzo wanayo pata huwa brain-wash kabisa; na kupunguza uwezo bnafsi wa kutafakari mambo; Ndio maana wanaweza kuvumilia kuishi kwenye vile vijumba tanuli kwa joto lililomo humo ndani.
Hawaoni haya kuchukua hadi rushwa ya 500.