Adui yao ni nani hasa?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,589
4,423


Huwa najiuliza siku zote,hivi hawa jamaa adui yao ni wanaotafuta haki yao au wale wanaokandamiza na kuiba haki za wengine?
 
tatizi walio wengi humo ni mbumbumbu, ni kama mbwa akiamrishwa kamata atakama hakuna kujiuriza kwa niini nakamata. Hawa jamaa huwa wako tayari hata kuumiza kama si kuua hata ndugu zao, Nafikili mafunzo wanayo pata huwa brain-wash kabisa; na kupunguza uwezo bnafsi wa kutafakari mambo; Ndio maana wanaweza kuvumilia kuishi kwenye vile vijumba tanuli kwa joto lililomo humo ndani.

Hawaoni haya kuchukua hadi rushwa ya 500.
 
Hawa ni watu wasiojua kusema why. Wengi wao huishi kwa kutegemea rushwa so hawaoni uchungu na taifa kabisa. Wakimuona mwananchi anaishi bila rushwa na bado maisha yake ni mazuri wanaona wivu mno. Ni moja ya kundi la watumishi wenye uwezo mdogo wa kufikiri hapa TZ. Na kwasabu hiyo wanawivu ndo maana wakiambiwa kamata wako radhi wakupige ili angalau kupunguza machungu ya frustrations zao.

Tuwaonee huruma.
 
usiusemee moyo wao



Mkuu siusemei moyo wao ila mioyo yetu,kumbuka kuwa hawa jamaa wako kama madogi wakiambiwa tu shika basi sisi ndio tunaumia na ndio maana nikaona niulize ili tujadili na kuweza kutoa maoni yetu ya nini kifanyike kuweza kuwaelimisha hawa jamaa kuhusu matumizi yao ya nguvu hata pale isipohitajika,na ukumbuke pia mara nyingi hawa jamaa ndio huanzisha vurugu na sio wananchi ambao mara nyingi hudai haki yao kwa kuzingatia sheria na amani.
 
FFU mmoja alisikika akisema kuwa wanapokuwa kwenye kazi ya kuwapiga watu, hawaishii kuwapiga tu bali na kuwasachi mifukoni mwao na kuwaibia. Ni watu wa hovyo sana hawa.
 
Wengi wao ni Mashoga! Juzikati nilikutana nae mida ya saa tano usiku likawa linashika mpini wangu linang'ang'ana nilifubue. Nikachomoa cfanyi ushetani huo. Jamaa yupo kwenye mizani ya mandela road karibia serengeti wenye mzuka kapigeni bwabwa hilo.
 
Haya mavazi yao yananikumbusha sinema ya Robo Cop. Kwa mtaji huu wale wagomaji wajiandae kuipata. Si unajua tena mambo ya Fanya Fujo Uone (FFU)?
 
Ni kweli, wengi hutumia nguvu zaidi kuliko busara. Shule kitu muhimu sana. Lakini at least jeshi la sasa limebadilika. Zamani wangeshaua raia wasio na hatia
 
mi huwaga nawasubiri wakishastaafu wanvyokuwa mapimbi.utasikia enzi zangu nilikuwa mbaya oo nilikuwa simbiwi hivyo oonilikuwa njiogopa oo nilikuwa na hela.
huwa nawapa dozi tu kama anauza tv ya laki na nusu mi napa30000 tu.akiomba bia nampa mia mbili za gongo.
pambaf sana hawa jamaa na serikali yao.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom