Naunga mkono hoja, wakati ukuta, ukishindana nao, utaumia mwenyeweHaji Manara anaweza kudhani ana maadui Wengi wanaomfanyia fitina lakini ukweli adui wake mkuu Kwa sasa ni wakati....wakati ukishakubadilikia unaweza usiamini yanayotokea na ukadhani Kuna watu wanakufanyia fitina...
Ally Kamwe wakati unam favour Sana . .anajikuta kila anachofanya kinakuwa rahisi Sana na kukubalika kwake inakuwa sio kazi ngumu kabisa . .ukweli ni kuwa kazi yoyote inayohitaji mitandao...akiwepo kijana generation Z na mtu mzima kama Manara ....basi moja Kwa moja kijana huyo atajikuta anafanya kazi effortlessly kulinganisha na watu umri wa Manara regardless ya uzoefu... technology ina WA favour vijana wanaochipukia na technology husika...kama kazi ya usemaji ingekuwa bado ile ya kizamani ya kwenda kwenye ma radio na magazeti...Manara angebaki the best...lakini ukijumlisha internet na social media....basi Umri wa kina Ally Kamwe ndo watakao fit na kutamba.. ... inawezekana kina Hersi wanaumiza kichwa wamuweke wapi Manara lakini wanashindwa. Tayari wakati ushakuwa kikwazo kikubwa Kwa Manara ....zama zimeshabadilika....
Umeongea ukweli Kabisa Jamaa hawaoni pa kumuwekaHaji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina.
Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila anachofanya kinakuwa rahisi na kukubalika kwake si jambo gumu. Ukweli ni kuwa, kwa kazi yoyote inayohitaji mitandao, kijana wa kizazi cha Z kama Ally anaweza kufanya kazi kwa urahisi zaidi kuliko watu wenye umri kama wa Manara, bila kujali uzoefu. Teknolojia inawapa nafasi vijana wanaoibukia pamoja na maendeleo ya teknolojia yenyewe.
Kama kazi ya usemaji ingekuwa bado inategemea zaidi redio na magazeti kama zamani, Manara angebaki kuwa bora. Lakini ukichanganya na matumizi ya mitandao ya kijamii, vijana kama Ally Kamwe ndio wanaoweza kustawi na kutamba zaidi. Inawezekana viongozi kama Hersi wanapata changamoto ya kujua nafasi sahihi ya kumweka Manara kwa sababu wakati umekuwa kikwazo kikubwa kwake. Zama zimeshabadili
ka.
Kitu cha kwanza na cha msingi ni muda. Kila kizazi kina celebrities wao, hii haihusiani na mabadiliko ya teknolojia bali kizazi.True..
Tazama hata ma Mc wa harusi.. zama hizi za mtandao wanatamba vijana tu.
Tazama wasanii wa muziki.. siku hizi wanatamba vijana tu. Lady jaydee anajua kutunga nyimbo na ana sauti nzuri ila soko linamkataa.. wanatamba kina zuchu tu
Tazama waigizaji.. joti na JB wanajua kuigiza sana ila siku hizi wanatamba vijana tu kina ndaro , steve mweusi, na wengineo
Mtandao unawabeba sana vijana.
Mwijaku ameweza kushindana na vijana sababu kajitoa akili kweli kweli
adui yake mkubwa ni wanawake, na umri.Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina.
Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila anachofanya kinakuwa rahisi na kukubalika kwake si jambo gumu. Ukweli ni kuwa, kwa kazi yoyote inayohitaji mitandao, kijana wa kizazi cha Z kama Ally anaweza kufanya kazi kwa urahisi zaidi kuliko watu wenye umri kama wa Manara, bila kujali uzoefu. Teknolojia inawapa nafasi vijana wanaoibukia pamoja na maendeleo ya teknolojia yenyewe.
Kama kazi ya usemaji ingekuwa bado inategemea zaidi redio na magazeti kama zamani, Manara angebaki kuwa bora. Lakini ukichanganya na matumizi ya mitandao ya kijamii, vijana kama Ally Kamwe ndio wanaoweza kustawi na kutamba zaidi. Inawezekana viongozi kama Hersi wanapata changamoto ya kujua nafasi sahihi ya kumweka Manara kwa sababu wakati umekuwa kikwazo kikubwa kwake. Zama zimeshabadili
ka.
Na mimi naunga mkonyo aaa! sorry Mkono hoja. Don't compete with time. Utaumia mwenyeweee!!!!Naunga mkono hoja, wakati ukuta, ukishindana nao, utaumia mwenyewe
P
Tanzania wazee hatupendwi,Trump miaka 84,Biden miaka 98😃True..
Tazama hata ma Mc wa harusi.. zama hizi za mtandao wanatamba vijana tu.
Tazama wasanii wa muziki.. siku hizi wanatamba vijana tu. Lady jaydee anajua kutunga nyimbo na ana sauti nzuri ila soko linamkataa.. wanatamba kina zuchu tu
Tazama waigizaji.. joti na JB wanajua kuigiza sana ila siku hizi wanatamba vijana tu kina ndaro , steve mweusi, na wengineo
Mtandao unawabeba sana vijana.
Mwijaku ameweza kushindana na vijana generation Z sababu kajitoa akili kweli kweli. Mshipa wa aibu kautoa wote
Wamuweke kamati ya wazee akashindane uchawi na kina mpiliUmeongea ukweli Kabisa Jamaa hawaoni pa kumuweka
Ally unayemsifi wakati tunakosa makombe miaka minne hakuwepo Tanzania?Heshima msaada wa manara kutujulisha mbinu za makolo tulizo kopi na kupesti kwenye ligi KUU Hadi kimataifa ila fahamu kibuli cha mtu kitamshusha na kibuli cha injinia kitamshusha.Hizi propaganda za kujidunga ingekuwa manara angeruka nazo kamwe kakaa kimya,tumefunga na Tabora anapost kipande cha wimbo wa maambole ya Marko "Hili limeniuma sana"kwahiyovalipo fungwa na Azam aliumia kidogo tu.Mnapokuwa na migogoro ya ndani ni rahisi sana adui zetu kunufaika na usaliti utakayo jitokeza Hilo ndilo lililo wasumbua Simba na kudhani pesa za moo ndiyo kila kitu,manara siyo moo Wala hachezi nambayeyoteHaji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina.
Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila anachofanya kinakuwa rahisi na kukubalika kwake si jambo gumu. Ukweli ni kuwa, kwa kazi yoyote inayohitaji mitandao, kijana wa kizazi cha Z kama Ally anaweza kufanya kazi kwa urahisi zaidi kuliko watu wenye umri kama wa Manara, bila kujali uzoefu. Teknolojia inawapa nafasi vijana wanaoibukia pamoja na maendeleo ya teknolojia yenyewe.
Kama kazi ya usemaji ingekuwa bado inategemea zaidi redio na magazeti kama zamani, Manara angebaki kuwa bora. Lakini ukichanganya na matumizi ya mitandao ya kijamii, vijana kama Ally Kamwe ndio wanaoweza kustawi na kutamba zaidi. Inawezekana viongozi kama Hersi wanapata changamoto ya kujua nafasi sahihi ya kumweka Manara kwa sababu wakati umekuwa kikwazo kikubwa kwake. Zama zimeshabadili
ka.
Anaonekana shoga tu mwisho wa sikuTrue..