Z Zollensky Senior Member Joined Jun 23, 2023 Posts 168 Reaction score 232 Apr 14, 2025 Thread starter #81 Shin Lim said: Kilichofanya tujipe moyo wote waliokufa walihusishwa na pombe kali. Yaani ni karibu karibu kiasi kwamba ukisimama katikati uite kwa sauti basi nyumba zote walipokuwa wanaishi wangesikia. Click to expand... Aisee, unywaji uliopitiliza ni tatizo.
Shin Lim said: Kilichofanya tujipe moyo wote waliokufa walihusishwa na pombe kali. Yaani ni karibu karibu kiasi kwamba ukisimama katikati uite kwa sauti basi nyumba zote walipokuwa wanaishi wangesikia. Click to expand... Aisee, unywaji uliopitiliza ni tatizo.
S super hero1 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2024 Posts 2,322 Reaction score 1,839 Apr 16, 2025 #82 Zollensky said: Alikuwa mtu poa Click to expand... Sana, Tena alikuwa anaonekana mbeleni atakuja ku-take over kwenye tasnia ya habari.
Zollensky said: Alikuwa mtu poa Click to expand... Sana, Tena alikuwa anaonekana mbeleni atakuja ku-take over kwenye tasnia ya habari.