Adobe Photoshop Discussion

Adobe Photoshop Discussion

Good Guy adobe indesign kwa magazine ndo nyumbani kwake, photoshop ni kwa ajili ya cover graphics, na graphics za ndani, lakini layout na mbwembwe zingine indesign. Nilitengeneza full magazine template page 40, na cover lake kabisa, ila ni miaka mingi, sijui km nnayo bado...

utatumia nguvu nyingi kutengenezea photoshop, kwanza kila toleo kuedit itakuwa balaa,

There u ar Idesign ni nzuri kwa mapage page na ndiyo kazi yake phito shop ni kwaajili ya mapichapicha na kutengeza advert kutumia ps kutengeneza kitabu ni matumizi mabaya
 
Last edited by a moderator:
Jamani cs6 unaipata kwa kununua ukiidownload inakuwa trial inaexpire kwa muda mfupi sana mpigie huyu jjamaa kama upo Dar. 0715553916
 
Mkuu Ushawahi kutumia photoshop cs4??..kama ndio,inatofauti gani na hizo cs6 na cs8?
Cs6 ni ya kisasa zaidi ni toleo la karibuni utaipenda hasa kwenye option za uchanganyaji rangi ipo vizuri halafu pia tools zipo nyingi zaidi lakini tools hizo ni kwa maproffesionals.
 
Cs6 ni ya kisasa zaidi ni toleo la karibuni utaipenda hasa kwenye option za uchanganyaji rangi ipo vizuri halafu pia tools zipo nyingi zaidi lakini tools hizo ni kwa maproffesionals.
poa mkuu..ntaitafuta..
 
Back
Top Bottom