we na wewe kilaza tu, sio the best...kunan adobe CC, ushaijaribu? kuna cinema 4D...Adobe CS 6 master collection is the best for Graphics
Mimi naitafuta sana hiyo CS6 ninayo CS4 mwenyenayo afanye manuva niipate basi.
Nicontact, ninyo had version ya CC...the last version
kama kuna mtu yeyote anajua site nzuri ambapo tunaweza pata Templates nzuri za Photoshop,Atuwekee hapa
Wakuu mwenye hyo software ya adobe cs6 naomba anitumie Kwny email yangu abdubeto@yahoo.com
ni vyema ukaingia google au youtube ukadownload hii program ya photoshop cs6 ni bomba sana iko sasa ya cs8
na indesign pia kwa magazine, booklets, na mautundu mengine ni bomba kwani katika kuedit inafaaa kuliko photoshop itakupa usumbufu kule sana sana cover, picha na mengineyo
Naweza ipataje hiyo cs6 maana kila nikiitafuta siipati direct linki ili niidownload maana me ntumia cs3
Mkuu Ushawahi kutumia photoshop cs4??..kama ndio,inatofauti gani na hizo cs6 na cs8?
hakuna tofauti bali zimeongezewa manjonjo fulani vile
ninayo nitafute hapa uchukue 0655 600 437.