Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
ni vizuri ungeenda youtube wana tutorials kibao
Best image manipulation software ever!! Enough said. Bro kama hio CS4 juu hapo ni ya kwako i suggest upande to CS6 ase, has lots of great features added!
Adobe CS 6 master collection is the best for Graphics
Mkuu hiyo ni picha tu niliyoitafuta Google, mimi nipo kwenye CS6
Kaka fungua Group whatsapp itakuwa Poa zaidi
Good Guy adobe indesign kwa magazine ndo nyumbani kwake, photoshop ni kwa ajili ya cover graphics, na graphics za ndani, lakini layout na mbwembwe zingine indesign. Nilitengeneza full magazine template page 40, na cover lake kabisa, ila ni miaka mingi, sijui km nnayo bado...
utatumia nguvu nyingi kutengenezea photoshop, kwanza kila toleo kuedit itakuwa balaa,
Mambo vipi kaka, vp uko fresh kwenye photoshop, natamani kuifahamuI am very comfortable nikitumia photoshop kwenye shughuli zangu za Graphics Design kuliko soft nyingine
Nimeshatumia photoshop sana mkuu. Hapa nilikuwa ninataka nijadiliane na watumiaji kama mimi. Ni jinsi gani wanaitumia.Kwa sababu hata kwenye kula kila mtu anakula kwa mpangilio wake