• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Adhabu ya wezi mtaani kwetu

Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,135
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,135 2,000
Adhabu ya Aibu, Mitaani gani hii!!!!!!!!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,135
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,135 2,000
Kwa Nini Msiwatumbukize Humo Ndani na Kuwachapa wese?
 
tembeleh2

tembeleh2

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Messages
765
Points
195
tembeleh2

tembeleh2

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2010
765 195
Hukumu hii imetolewa na mahaka gani? Au na majaji wa sasa??
 
Mr. Bigman

Mr. Bigman

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Messages
2,558
Points
2,000
Mr. Bigman

Mr. Bigman

JF-Expert Member
Joined May 7, 2011
2,558 2,000
Adhabu maridhawa. Psychological zaidi. Inamfanya mwizi asifikirie kuiba tena!
 
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
7,321
Points
2,000
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
7,321 2,000
Hivi ni nani mgunduzi wa adhabu ya bakora..??
 
Lateni

Lateni

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
681
Points
225
Lateni

Lateni

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
681 225
Kwa Nini Msiwatumbukize Humo Ndani na Kuwachapa wese?
Yaani hii ni adhabu nzuri sana , kuliko hata kuwachoma moto kwa kua lengo ni kuwafanya wajutie kosa na wabadilike,
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,008
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,008 2,000


Hii ni adhabu nzuri sana kuliko kuwavalisha matairi shingoni au kuwamwagia mafuta ya taa/petroli na kisha kuwatia kibiriti.
 
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,953
Points
1,225
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,953 1,225
Hata sisi huo ndio mtindo wa Kisasa. Wala hampati tabu ya kufukuza mwizi.
 
S

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
3,092
Points
1,250
S

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
3,092 1,250
Jamaa waliiba Simtank la Kingwendu?
 
zungupori

zungupori

Member
Joined
Jul 30, 2012
Messages
92
Points
70
zungupori

zungupori

Member
Joined Jul 30, 2012
92 70
ari tunayo, niya tunayo, nguvu pia tunayo sasa ni nani kweli atamvisha paka kengele? tunaadhibu "small fish" alafu mifisadi papa inapeta tuu. yaani hapo ukibadilisha hao sinzia ukamweka seasoned fisadi itakuwa byee sana. aliyepanda juu lazima ashuke chini
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,195
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,195 2,000
Hapo wanazungushwa siku nzima afu wanaachiwa huru
Huu ni uonevu Mbona hawa hamuwafanyii hivyo..Kikwete, Lowasa, Rostam, Kinana, Chenge....................
 
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Messages
5,493
Points
2,000
bampami

bampami

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2011
5,493 2,000
ni sawa na mlimani city wiki ilopita dogo kaingia game kaanza kuiba vi2, c wakamkamata, kwanini dogo mulemule ndani wacmvue nguo zote afu wakamwambia nenda kwenu.
 

Forum statistics

Threads 1,405,656
Members 532,074
Posts 34,492,201
Top