Adhabu ya wezi mtaani kwetu

Hii ni adhabu stahili kabisa, wakishalirudisha walikolotoa, wakiwa hivyo hivyo ------ uchi, hiyo bakora ninayoina ikiwahimiza mwendo itumike kuwachara barabara. Kinachosikitisha ni kuwa hata uwafanye nini, mtu akisha shikwa na tabia mbaya ya wizi haimtoki ng'oo. Umtembeze uchi, umchape, umpige tofali etc
 
Back
Top Bottom