kumtia mwanafunzi mimba,kasome education Act kama sikosei
Kama adhabu ya viboko inatolewa ukivunja sheria gani? Majibu kwa mnaojua sheria...
Ukitembea na mke wa mtu
Na kama ilo kosa ni la kwanza na mtendaji ni under 18
kunajisi mifugo na vitoweo.