Adhabu ya viboko inatolewa ukivunja sheria gani?

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
791
713
Kama adhabu ya viboko inatolewa ukivunja sheria gani? Majibu kwa mnaojua sheria...
 
Kama adhabu ya viboko inatolewa ukivunja sheria gani? Majibu kwa mnaojua sheria...

Vipi mkuu kwani umefanya kosa gani. Twambie kosa ulilofanya tukueleze adhabu utakayopata. (natania tu :wink2: LOL).

Lakini kiukweli katika mahakama ya mob-justice, viboko, kuchomwa moto, kuuawa, na mikong'oto mingine ya aina yoyote ile hushushiwa vibaka, wezi wa ngono, na wahalifu wengine wanaokamatwa mitaani.

Najua hili sio swali ulilouliza. Mie nachangamsha baraza tu, sio mwana sheria.
 
Na kama ilo kosa ni la kwanza na mtendaji ni under 18

Vipi mkuu, mbona unajitetea sana, yalikukuta nini? Ukimtia mwanafunzi mimba basi tunakuitia sheikh au padiri uoe tu. Hii itakutia adabu.

(natania - LOL)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom