Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Mkuu there is a good reason kwanini polisi hawaruhusiwi kupeleleza kesi zinazowahusu au daktari kumfanyia operation mtu wa karibu sana na yeye..., Sababu hata decision na maamuzi yao yatakuwa calculated na yatakuwa tofauti na ingekuwa otherwise..., Kwahiyo kama sasa hivi naona death penalty haifai takuwa sipo sawa kubadilisha mawazo yangu itakapo-work against me.... Au unaona its okay tuwaachie watu waliotendwa ndio watunge sheria.....?
Inabidi maamuzi yetu yawe regardless kwamba yamenikuta mimi au sio mimi na yasiwe driven by emotions and revenge..,
yap ni sawa kuwa na hukumu ya kifo....
(kwa watu kama mafataki na wabakaji)
(ingawa kwa upande wa Dini especially Christianity hairuhusiwi
kumuhukumu mtu)
Hapo pekundu napingana na wewe. Hukumu ya kifo ipo kwenye biblia. Kasome sheria za
Musa.
Hukumu ya kifo inakuwa administered by the state na sio individual. Na sio kwa sababu ya kulipa bali ni adhabu ya kosa.Baada ya Yesu kuja, hukumu ya kifo ilibatilishwa. Sasa hivi ni mpende adui yako na usilipe ovu kwa ovu...........
Hukumu ya kifo ni muhimu sana katika jamii.
1. Huwezi kuua kwa kukusudia (premeditated murder) alafu uishie gerezani tu kutumia rasilimali za nchi
The death penalty is much more expensive than life without parole because the Constitution requires a long and complex judicial process for capital cases. This process is needed in order to ensure that innocent men and woman are not executed for crimes they did not commit, and even with these protections the risk of executing an innocent person can not be completely eliminated. Source Death Penalty*:*The High Cost of the Death Penalty
Sio kweli2. Kwa degree fulani ninahisi kuwa inapunguza matendo maovu. Kwa mfano, angalia matukio ya treason katika nchi yeyote.
Wangapi wanajiua kwa kukimbia maisha magumu lakini sijaona mtu anavolunteer kifungo cha maisha na kazi ngumu3. Kumuua mtu sio kumpumzisha, ama sivyo kwa nini wewe hujiui hapo? The uncertainty in death is what keeps ppl alive...
Adhabu ya kosa ndio lakini je ni adhabu tosha?, je ni adhabu tosha kwa mtu aliyeua watu 10; je ni adhabu kubwa kuliko adhabu nyingine (suffering involved)Hukumu ya kifo inakuwa administered by the state na sio individual. Na sio kwa sababu ya kulipa bali ni adhabu ya kosa.
Na pia sio necessarily awe adui wako.
Adhabu ya kosa ndio lakini je ni adhabu tosha?, je ni adhabu tosha kwa mtu aliyeua watu 10; je ni adhabu kubwa kuliko adhabu nyingine (suffering involved)
Cku zote mtu huonekana anapojutia na izo adhabu c za muda mfupi km kwa mtu alieua for da rest of his life awe anatumikia hizo adhabuUnajuaje kama hizo adhabu nyingine zitamfanya ajutie maovu yake? Atakuambia kuwa najuta kumuua fulani na fulani? Au?
MKuu I can argue kwamba Kunyongwa sio the ultimate suffering lakini kuna mateso hapa ulimwenguni ambayo ni more suffering mfano torture (yaani mtu unaomba ufe) pili kunyongwa/kujinyonga ingekuwa mbaya kivile sidhani kama kuna watu wangejinyonga (hii inaonyesha kwamba unaweza ukapata matatizo hapa ulimwenguni hadi ukaona kufa ni kuzuri)Kuuwawa kwa kunyongwa sio 'adhabu' ndogo kivile....ni ya muda mfupi lakini katika hali ya kawaida hakuna mtu angependa 'kunyongwa'.
Ndio wapo wale wanaopinga adhabu ya kifo sababu ya morals..., pia na mimi naona adhabu ya kifo huenda ikawa ni getting off lightly kwa watuhumiwa.., ofcourse I can argue kwamba kuna makosa makubwa zaidi ya kuua kwa kukusudia (unaweza ukamtenda mtu (abuse) ukaacha kovu kubwa maishani mwake yaani ikawa ni bora ungemuua) unadhani yule anayeabuse watoto ni kosa dogo kuliko aliyeua? Its all subjective lakini tuangalie faida za kunyonga:-Naona umeongeza apsect nyingine ya utoshelevu wa adhabu ya kifo....hii pia ina ugumu wake kwa sababu uwezo wa binaadamu una kikomo. Lakini wanaopinga adhabu ya kifo wanaipinga kwa sababu wanahisi ni ndogo na hivyo wangetaka adhabu kubwa zaidi au ni suala la morality zaidi? Ukitizama sana hakuna kosa kubwa kama kuuwa (kwa makusudi) na kimantiki hakuwezi kuwa na adhabu kubwa zaidi ya kuuwawa (isomeke: kunyang'anywa haki ya kuishi). Ukisema adhabu ya kifo ni ndogo (is not the maximum), kimantiki unasema pia kuuwa kwa makusudi sio kosa kubwa zaidi kuliko makosa mengine yote.
Sio kweli unaweza ukamfanya mfungwa productive alafu inasemekana kunyongwa ni cost zaidi kuliko kifungo cha maisha
Sio kweli
It is not a deterrent; crime rates have not gone down.
In fact, the murder rate in the US is 6 times that of Britain and 5 times that of Australia. Neither country has the DP. Texas has twice the murder rate of Wisconsin, a state that doesn't have the DP. Texas and Oklahoma have historically executed the most number of DR inmates, yet in 2003 their state murder rates increased, and both have murder rates higher than the national average.
Wangapi wanajiua kwa kukimbia maisha magumu lakini sijaona mtu anavolunteer kifungo cha maisha na kazi ngumu
Ivi unajua jela za nchi zilizoendelea zinafanyaje kazi? Wafungwa wanapigishwa kazi ngumu? Unajua watu wana-access ya education, tv, nk eti kwa ajili ya ku-rehabilitate?
Cost ya risasi ni kubwa zaidi ya kumlisha mtu kwa miaka 30 three meals a day? Embu fafanua hiyo point maana it doesnt make sense at the moment.
Mkuu hivi kwanini mtu huwa anamuua mwenzake?, hivi huwa anaua sababu anajua kwamba nitafungwa tu miaka michache?, au mtu huwa anaua either kwa hasira, au ni physco au katika ujambazi wake kwa kuogopa kutambuliwa hence kufungwa ndio anaua ili asishikwe na kufungwa ? (nini motive ya kuua?)Pili, sijasema kuwa inapunguza murder rates, bali premeditate murders rates. Adhabu ya kifo huwa kwa charge/offence ya namna hiyo. Mimi nikijua leo nikimuua jirani yangu nitauawa, wewe unaona sio a deterrent?
Alafu una-compare nchi yenye watu mil 400 na nchi zenye watu less than 70m? Kwenye a larger population it is obvious kutakuwa na disputes zaidi between individuals. Nipe link to those statistics. Saa nyingine tunapewa statistic bila ku-question meaning yake.
[h=3]The deterrence issue[/h]Supporters of the death penalty often cite deterrence as a reason to keep or reinstate the punishment.[SUP][citation needed][/SUP] However, a study comparing Hong Kong, a city-state without the death penalty, and Singapore, a city-state that uses the death penalty frequently and swiftly, and has a similar culture and murder rate to Hong Kong, found no evidence that Singapore's death penalty deterred crime relative to Hong Kong. [SUP][84]
http://en.wikipedia.org/wiki/Capital_Punishment#cite_note-83http://en.wikipedia.org/wiki/Capital_Punishment[/SUP]
Mkuu wanajiua kukimbia matatizo which shows kwamba death sio "the ultimate tatizo" Hence kumbe tunaweza kutoa adhabu ambazo ni kubwa zaidi ya death..., Mfano mwingine wanacheshi/spies walikuwa wanapewa cyanide tablets hili wakishikwa waweze kujiua mapema ili wasije kuteswa na kutoa siri (which means death is not a ultimate punishment) wangapi watu wajitoa mhanga kwa kujilipua (which means people are not that afraid of death anyway)Tatu, watu wanaojiua wanajipumzisha? Watu wanajiua kukimbia matatizo lakini sio kujipumzisha. Death is still an uncertainty.
Halafu kama adhabu ya kifo haipunguzi au kuzuia mauaji, je kifungo cha maisha na kazi ngumu ndivyo vinazuia?
Kwahiyo mkuu hapa argument ni kwamba Je kunyongwa kunafanya watu waache kufanya crime kushinda adhabu nyingine na jibu ni kwamba (The Jury is Still Out)..... Hakuna evidence kwamba this is the case
Yes Mkuu kwahiyo if that the case tuache kutumia hii issue ya determent ya crime ku-justify death penalty.That I agree and I do so without qualification(s). Hakuna adhabu inayofanya watu waache maovu kabisa. Iwe ovu lolote lile. Maovu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na jamii. Kama wewe unajua kuna adhabu ambayo hufanya watu waache ovu fulani naomba nitajie.