Ngoja wajinga waje wakujibu
Najiuliza tu alakini hapa,sasa unapomnyima ni kwa muda gani..??Na inapotokea muda wa adhabu umekwisha na yeye mnyimwaji anakasirika anasema na mimi umeniudhi kwa kunipa adhabu kisha nayeye anaendeleza kukunyima utachukua uamuzi gani..??
Nahamia kwa Kaka yake a.k.a Shemeji yangu.
Ili twende Sawa na Heshima iendelee kuwepo.
Hutaki kupeleka uzao nje ya ukoo..??
Inategemea.
Kama ukoo haueleweki nahamia nje ila kama unaeleweka,
Basi Mwake!!!
Najiuliza tu alakini hapa,sasa unapomnyima ni kwa muda gani..??Na inapotokea muda wa adhabu umekwisha na yeye mnyimwaji anakasirika anasema na mimi umeniudhi kwa kunipa adhabu kisha nayeye anaendeleza kukunyima utachukua uamuzi gani..??
Nahamia kwa Kaka yake a.k.a Shemeji yangu.
Mm
Punguza hasira mama aulizaye ataka kujua, mwanasheria hajambo lakini..??
:yo:Siku hizi hata nikimsalimia hanijibu kulikoni mwambie namuuliza..

Yupo hapa pembeni kajilaza ubavuni kwangu.
Kasema mmezidi kumsakama au mnataka aniache mimi?
Maneno yote haya yataisha ukikatwa!
Hii si adhabu nzuri kwa wapenda nao, ni chanzo cha kusalitiana!
Punguza hasira mama aulizaye ataka kujua, mwanasheria hajambo lakini..??
:yo:Siku hizi hata nikimsalimia hanijibu kulikoni mwambie namuuliza..
Baba, mwanamke havutiwi na maumbile. Anavutiwa na upendo, kuthaminiwa na emotional satisfaction. Sio kama anakunyima, unakuwa umemtoka moyoni.unless ni biashara, hatuwezagi kujilazimisha rigwaride!