mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,341
- 56,120
Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani.Nimesoma seminari. Amini nikuambiacho.
Seminari watu wanaandaliwa kuwa mapadre
Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani.Nimesoma seminari. Amini nikuambiacho.
Seminari inatokana na neno la kilatin "seminarium" lenye maana ya "mbegu" ama "kitalu" cha miito.Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani.
Seminari maana yake ni Shule watu wanaandaliwa kuwa mapadre