Kwa wahanga wa Aden Rage- Klabu cha Simba na wapiga kura jimbo la Tabora mjini.

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Kwa wahanga wa Aden Rage- Klabu cha Simba na wapiga kura jimbo la Tabora mjini.



Napenda niwaambie wasomali siyo watawala wazuri , fikiria rais wa Somalia anatawala Somalia lakini anaishi Nairobi, Aden Rage anafaa sana kuwa kiongozi wa club ya ngumi na ninafikiri katika rasimu ya katiba ya club cha Simba wameweka kipengele kwamba kama mtu alifungwa asiruhusiwe kugombea uongozi katika klabu hiyo hicho kipengele kinamlenga yeye Rage.


Naamini kabisa kama ingekuwa yanga Rage angeisha chanja mbuga siku nyingi maana klabu cha Yanga kinafanana na chui aina ya DUMA , Duma akiona watoto wake wako hatarini huchua hatua za haraka kuwanusuru mala moja bila kuchekelewa, chelewa chelewa utakuta mtoto siyo wako.

Kwamba eti nyumba ya mwenyekiti huyo iko gorafa ya tatu siyo tatizo chukua canter imejaa kinyesi kajaze kwenye gorafa hilo Rage atatoka tu.


Wapiga kura wa Tabora mjini uroho wenu wa kahawa ndio uliowaponza bebeni kikombe hicho, kunyweni siki aliyochanganywa na sifongo muone uchungu wake pumbafu zenu.
 
Back
Top Bottom