TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Ngete(Looser),Muungano(Prof Saitoti),Yule daktari wa Tumbi,Kenny...rest in power our comrades
Ile familia sijui kuna tatizo gani walizaliwa watoto 10 Kama so 11 lkn wamepukutika wote wamebaki wawili tu Gen Davis na dada yake Rhoda mwamunyange
 
Rhoda sio Askari nakumbuka alikuwa anafanya kazi kwenye ejio moja hivi Kama sikosei na ana mtoto wa kiume mkubwa kabisa
Erick ni ndio nilikuwa namfahamu...tukiwa wadogo alikuwa anakujaga home na mtoto wa kaka yangu..ila sijamuona kitambo sana
 
Back
Top Bottom