Addo November: Irene Robert amekutwa Hotelini akiwa mtupu

Addo November: Irene Robert amekutwa Hotelini akiwa mtupu

Hizo wiki 3 sijui alikuwa na fala huyo aliyemfanyia hivyo,gospel singer

Ova
 
Walijaribu kuuficha sana..mara kafa na depression usingizini..
Ohh mara rafiki yake apost nakumbuka ulisali sana usiku kabla hujalala kumbe ndo unaniaga.

Ili kumstiri

Huyu mlezi wao Sasa 🙆🙆
Labda yamemshinda akaona isiwe shida,kifua kinamuelemea.
Haki kwaajili ya binti
 
Kumbe zilisha anza taarifa zingine kabla ya hizi
 
Tusijaji sana, huenda anatengeneza awareness kwa vyombo vya dola na jamii ijue nini kinaendelea
Tukubaliane tu kwamba uwasilishaji wa taarifa yake umekaa kiukakasi.
Kwani angesema tu kwamba mazingira ya kifo cha huyo msanii yana utata hivyo analitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina kwa mwili wake na upelelezi madhubuti ili kubaini chanzo cha kifo.
 
Hio statement haikuwa na ulazima wowote ule, sijui jamaa alifikiria nini. Anyway apumzike kwa amani
 
Daaah! "mtupu akiwa amejisaidia...?" hii kauli inafikilisha sana, kwa haraka haraka lazima akili yako iwaze vitu vya hovyo 🙌, but anyway apumzike kwa amani tu.
 
Back
Top Bottom