addition maths

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
great thinkers,naomba msaada wa syllubus ya additional mathematics,au link itakayonisaidia kuipata,hata kama una sample ya papers nitashukuru kama utanisaidia ndugu,natanguliza shukrani
 
Baadhi ya topics zilzomo ni trignometry,matrix,statistics,calculas etc.sio ngumu kama ukiwa seriouz.
 
Baadhi ya topics zilzomo ni trignometry,matrix,statistics,calculas etc.sio ngumu kama ukiwa seriouz.
Thanx mdau,ila ningepata syllubus ingenisaidia zaidi,maana hata chuo kikuu kuna calculus,matrix,statistics etc,i just want 2 know the boundaries,as far as add.maths is concerned
 
Additional Maths ni nzuri sana ila sina hakika ni vijana wangapi siku hizi wana-dare kuchukua hiyo option, ukizingatia maths kwa ujumla ni janga la kitafa!

Kuna mwalimu mmoja alikuwa anatueleza kuwa, Add Maths is for the swimmers only!!

Babu DC!!
 
Maths for life!
Straight forward, hakuna kuuza vyai.

Unajua dada/kaka,

Hata mie niliamini maths ni somo rahisi sana...ila nashangaa mizinga kibao ambayo vijana wanabeba...

Hivi, ina maana kwamba vijana wetu wamekuwa vichwa vya panzi au walimu ndo vihiyo??

Babu DC!!
 
Yaani Babu DC

Hapa kuna tatizo la wanafunzi wenyewe
Tatizo la waalimu pia.

Nakumbukuka nikiwa kidato cha 1 na 2 kidogo nikimbie somo
Sababu ya mwalimu
Lakini nilipopelekwa kwenye Add Math
Nikarudisha Interest kwa nguvu zote.

Dah, nasikitika sana kuona ujuzi wangu unakufa bure
Uzee nyambaf sana
Natamani nipate sehemu nijitolee jumamosi

Na jamii imelifanya hili somo kuwa kama gumu sana
Wanawaaminisha watoto kuwa ni gumu
Mie vijana wangu wakifeli hili somo huwa naghafilika siku nzima.

Hali ya Maths inatisha...vijana wanaliogopa hili somo kama ukoma. Siwezi kuwaelewa....

Hata mie huwa napata shida kuwaona wajukuu wanafeli hili somo ambalo halihitaji nguvu nyingi.....

Labda ndo maana kila kitu tunaboronga!!

Babu DC!!
 
watoto wamekuwa wavivu sana cku hizi,na wan negative altitude na maths kwa ujumla
 
watoto wamekuwa wavivu sana cku hizi,na wan negative altitude na maths kwa ujumla,yaan mtoto yupo 4m 2 anakuambia anasoma HKL,kisa anaogopa namba
 
Back
Top Bottom