Addicted to "Bar Maids"

Wewe unakila sababu ya kufungua Bar yako maana hao Barmaids 40 wanatosha kuanza nao Bar kubwa tuuu!!! Badala ya kuwa addicted unakuwa EMPLOYER
 
Wewe unakila sababu ya kufungua Bar yako maana hao Barmaids 40 wanatosha kuanza nao Bar kubwa tuuu!!! Badala ya kuwa addicted unakuwa EMPLOYER

Nakataa.....ukiwa employer inabidi uwe serious nao na hivyo kuondoa raha waletazo
 
Wewe unakila sababu ya kufungua Bar yako maana hao Barmaids 40 wanatosha kuanza nao Bar kubwa tuuu!!! Badala ya kuwa addicted unakuwa EMPLOYER

SURUMA,

You don't get it..

Kwa taarifa yako wamiliki wa Baa huwa hawanywi kwenye baa zao! Mtu anaweza kuwa na Baa Gongo la Mboto lakini anakunywa Bia Oceanic-Mbweni.. right? Ukimuuliza anafuata nini, anakwambia kuwa "anabadilisha mazingira"! See!

Lakini ukifuatilia kwa undani unakuta kuwa alipita kumuona Arafa au Nuru! But why? Lazima hawa mabinti wahudiamiaji wa baa wana kitu tofauti na wanawake wengine - siamini katika uchawi!
 
Hawa wako tofauti wakitazama tu chupi zinabana basi na akili zao zinapotelea humo humo,wakati sie wengine mamito mpaka ukonnect dots ndo unalowa labda kwa wale wachache waliobarikiwa.

kwa kweli hiyo ni baraka, damn! cpati pic kabisa kabisa, halafu hawa watu wametoka makazini kutwa nzima, hao nao wameshinda wakikimbizana na kazi, wanakutana tu na kuduu, kweli kuna watu hamna vinyaa kabisa, nyie wanaume hebu niambieni, mnafanyaga kabisa kabisa kama mipango mizima mnavyofanyaga nao? romance etc, kweli mnaniudhi hamjui tu.
 
Dada bana......

Sasa unafikiri kule gesti tunaimba nao kwaya?
 
hebu tushirikishe kweny huo utofauti, ina maana na mie leo hii nikianza hiyo kazi nitakuwa na huo utofauti?
 
Dada bana......

Sasa unafikiri kule gesti tunaimba nao kwaya?

unaendelea kuniudhi kaka, point yangu hapa ni kwamba mnafanyaga kama mpango mzima au chap chap, mkimaliza mnapata maji au ndio mnaturudia home na mauchafu yenu? coz mnao wengi jamani sasa kila mmoja utamtendea haki yake kama mpango mzima?
 
hebu tushirikishe kweny huo utofauti, ina maana na mie leo hii nikianza hiyo kazi nitakuwa na huo utofauti?
Ngoja nimjibie skulimeti wangu.............Utofauti wao ni huu hapa chni:

unaendelea kuniudhi kaka, point yangu hapa ni kwamba mnafanyaga kama mpango mzima au chap chap, mkimaliza mnapata maji au ndio mnaturudia home na mauchafu yenu? coz mnao wengi jamani sasa kila mmoja utamtendea haki yake kama mpango mzima?
Inategemea na kiu dada. Yaweza kuwa mpango mzima au chapchap......... inategemea nt'u na nt'u au kiu na kiu.
 
Yuko dada mmoja wa ''kiofisi'''alikuwa katu hatongozwi...nikamshauri akaombe kazi bar japo kwa weekend moja tu....huwezi amini alitongozwa na mijitu kibao just one night
 
Baamedi Ti!!
Unajua hommie watu hawapendi kusikia ukweli bana! Usimwage mambo yote hapa!
Nimekoma hommie, si unajua:

I may be walking slowly
, But I never walk backwards!
and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
 
Woi mkae kimya na nyie nisije nikaandika kilugha hapa.

Nimekoma hommie, si unajua:

I may be walking slowly
, But I never walk backwards!
and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…