Basi usichuke ya Vivian wa Fairway...nshamuwahi.... HoMe Boys ya Wazo?.........Hapo kuna Fatuma nshachukua namba zake japokuwa najua ntashea na Michael wa Wazo Cement.......Jamaa kampangishia room kabisa.
Woooooi wakwa..........nakutaka radhi mshiki!....Khaaa.Asprin nakupa dakika tano nitake Radhi!!! sawa
Utakuwa bar gani?mhh nmejifunza mengi leo....kuanzia leo nami nakuwa barmaid kwa mpenzi wangu!
Utakuwa bar gani?[/QUOTE
kona bar...unakaribishwa!
Mi napenda the River Betweenkona bar...unakaribishwa!
Woooooi wakwa..........nakutaka radhi mshiki!....Khaaa.
Nawe umepotelea wapi wajameni?
hhahahahahahahhahhaa weye mtundu sana!Mi napenda the River Between
Huo utundu wangu uko Bar au kwa baamedi au kwa shosti?hhahahahahahahhahhaa weye mtundu sana!
kwa shosti barmaid mtarajiwa!Huo utundu wangu uko Bar au kwa baamedi au kwa shosti?
Orayt.........nami naahidi kuwa mnywaji mzuri kwenye bili zako.......kwa shosti barmaid mtarajiwa!
Tatizo unapo wapania sana mabo huwa hivi......
jukwaa la barmaids.....!
hivi bi-ii hawa bar-men inakuwaje?....