hasan124
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 716
- 128
- Thread starter
- #81
ADC kule Arumeru watamsimisha mgombea?
ADC hakiwezi kusimamisha mgombea kwa sababu bado hakijapata usajili, kuna process ya kufuata ambapo soon kitapewa Usajili wa muda halafu wanahitajika kuzunguka mikoani na msajili kuhakiki wanachama atleast 250 kila mkoa, baada ya msajili kujiridhisha ndio atoe Usajili wa kudumu then wataruhusiwa kusimamisha wagombea.