ADC yavunja Ngome ya CUF Zanzibar, Wanachama zaidi wajitoa

ADC kule Arumeru watamsimisha mgombea?

ADC hakiwezi kusimamisha mgombea kwa sababu bado hakijapata usajili, kuna process ya kufuata ambapo soon kitapewa Usajili wa muda halafu wanahitajika kuzunguka mikoani na msajili kuhakiki wanachama atleast 250 kila mkoa, baada ya msajili kujiridhisha ndio atoe Usajili wa kudumu then wataruhusiwa kusimamisha wagombea.
 
..asili ya CUF ni chama cha HIZBU.

..lengo lau ni kurudisha Zanzibar ya kabla ya Mapinduzi.

..wanaojiengua CUF sasa hivi ni wa-Tanganyika ambao kimsingi hawana thamani yeyote ile ktk chama hicho.

..watapatikana wa-Tanganyika wengine wenye njaa kuiunga mkono CUF na kuipa uhalali wa kisheria mpaka pale watakapotimiza malengo yao ya kuvunja muungano na kufuta mapinduzi ya Zanzibar.

..mkisikia Wapemba wanarudisha kadi za CUF then we will have something to talk about.
 
Mpemba mbishi
Umeelewa nilichosema? Kama kutembea hata mimi nimetembea sana suala la msingi nililosema mpo wachache mnaotumiwa na mabwana zenu na kujinasifu na uarabu wakati hao waarabu hawawathamini, ukweli mwaarabu wanawachukulia kama watumwa tu, na inaonyesha jinsi ulivyo mfinyu wa mawazo umeongelea wapemba wanaishi UK, Canada, Dubai na Brazil hivi hufahamu zaidi ya nusu ya wapemba wanaishi Tanzania Bara? Usipindishe hoja ya msingi.

Chama
Gongo la Mboto DSM
Mkuu,huyu Mpemba Mbishi ni mbaguzi sana! kama unafuatilia post zake zote hapa jamvini huyu jamaa anachuki
na wabara usipime....ndiyo maana mimi huwa nazidi kumuumiza kwa kumjibu kuwa Zanzibar ni koloni letu full stop
 
R.I.P CUF wadini na wapemba tulikupenda sana lakini kifo kimekupenda zaidi.
CUF haijauliwa na CCM bali imejimaliza yenyewe. Hatujasahau 1995 wakati sisi tuliokua zanzibar tunatangaziwa na vijana wa pemba na mji mkongwe kwamba makaburi ya wakristo yanachimbwa. haya Juzi Jusa katuhakikishia kuwa ni kweli. uongozi wote umejaa ukabila(upemba) na udini (uislam). gazeti lenu pendwa AL-NUUR kila likishabikia upuuzi wa siasa wa kidini. sasa Rest In Peace. Hakuna wa kuumaliza ukristo maana umedumu kwa miaka 2000! UPITAPO KWENYE MOTO HAUTATEKETEA, WALA UPITAPO KWENYE GHARIKA HAUTAZAMA SIMAMA HIVI LEO UKAUONE MKONO WA MUNGU! CUF ULIYOIONA SASA HAUTAIONA MILELE!
 
Mkuu,huyu Mpemba Mbishi ni mbaguzi sana! kama unafuatilia post zake zote hapa jamvini huyu jamaa anachuki
na wabara usipime....ndiyo maana mimi huwa nazidi kumuumiza kwa kumjibu kuwa Zanzibar ni koloni letu full stop

Wewe kama umejenga dhani ya kwamba mimi ninawachukia Wabara wacha iyo hivyo, na wala hakuna kosa kwani sisi tumeunganishwa tu; tena bila ridhaa zetu kumbuka hatukua na uhusiano WOWOTE hapo mwanzo.
 
CUF haijauliwa na CCM bali imejimaliza yenyewe. Hatujasahau 1995 wakati sisi tuliokua zanzibar tunatangaziwa na vijana wa pemba na mji mkongwe kwamba makaburi ya wakristo yanachimbwa. haya Juzi Jusa katuhakikishia kuwa ni kweli. uongozi wote umejaa ukabila(upemba) na udini (uislam). gazeti lenu pendwa AL-NUUR kila likishabikia upuuzi wa siasa wa kidini. sasa Rest In Peace. Hakuna wa kuumaliza ukristo maana umedumu kwa miaka 2000! UPITAPO KWENYE MOTO HAUTATEKETEA, WALA UPITAPO KWENYE GHARIKA HAUTAZAMA SIMAMA HIVI LEO UKAUONE MKONO WA MUNGU! CUF ULIYOIONA SASA HAUTAIONA MILELE!

Mods tafadhali hii thread usiiondoshe na sisi tunataka kujibu comments sababu naona mada imehamia kwenye UDINI sasa! Imekua ni kawaida threads inapogeuzwa na kutolewa comments za kidini hawa mamods hua wanaisambaratisha fasta, kinachokera zaidi hua wanaiondoa baada ya comments nyingi zinazoushambulia Uislamu kutolewa na pia wengine hufikia hata kuukashifu uislamu kwa ujumla badala ya kutoa hoja kulingana na mada ambayo imewekwa. Kitu cha kusikitisha sana ni kwamba mada huondolewa baada ya kuonekana waislamu wanataka kujibu mapigo kulingana na michango ya hao ambao wamekashifu na kukebehi. Ni kama kwamba hawa mamods wapo hapa kwa ajili ya kuwakingia kifua watu fulani! Au na huu mtandao unaongozwa na 'Mfumokristo'!!!
 
Dhambi ya ubaguzi ni sera rasmi ya CUF sera hii imeanza kuwatafuna wenyewe hakuna wa kumlilia.Hongera Jussa nilikuwa sijui CUF ni kwaajili ya wazanzibar na waIslam.
Nukuu ya marehenu Baba wa Taifa la Tanzania juu ya dhambi ya ubaguzi inatimia neno kwa neno. Na kwa mtazamo huu kama hawatageuka nyuma na kuangalia walipojikwaa kwa lengo la kunyoosha mapito yao itabakia historia!
 
..asili ya CUF ni chama cha HIZBU.

..lengo lau ni kurudisha Zanzibar ya kabla ya Mapinduzi.

..wanaojiengua CUF sasa hivi ni wa-Tanganyika ambao kimsingi hawana thamani yeyote ile ktk chama hicho.

..watapatikana wa-Tanganyika wengine wenye njaa kuiunga mkono CUF na kuipa uhalali wa kisheria mpaka pale watakapotimiza malengo yao ya kuvunja muungano na kufuta mapinduzi ya Zanzibar.

..mkisikia Wapemba wanarudisha kadi za CUF then we will have something to talk about.
Kha! sasa hiki ni kitu gani
 
In the same line of thinking..

Chadema asili yake christian movement, lengo kuu ni wakristo kuhodhi madaraka

Mkisikia waliosoma seminari wanarudisha kadi za cdm then will have sometihn to..

tutafika tu..
 
CUF haijauliwa na CCM bali imejimaliza yenyewe. Hatujasahau 1995 wakati sisi tuliokua zanzibar tunatangaziwa na vijana wa pemba na mji mkongwe kwamba makaburi ya wakristo yanachimbwa. haya Juzi Jusa katuhakikishia kuwa ni kweli. uongozi wote umejaa ukabila(upemba) na udini (uislam). gazeti lenu pendwa AL-NUUR kila likishabikia upuuzi wa siasa wa kidini. sasa Rest In Peace. Hakuna wa kuumaliza ukristo maana umedumu kwa miaka 2000! UPITAPO KWENYE MOTO HAUTATEKETEA, WALA UPITAPO KWENYE GHARIKA HAUTAZAMA SIMAMA HIVI LEO UKAUONE MKONO WA MUNGU! CUF ULIYOIONA SASA HAUTAIONA MILELE!

Haleluya..oops
mawazo mgando, mgogoro kwenye chama cha siasa ni kawaida

asiyefahamu hilo ni dikteta..ngoja waende kuongoza ADC wataona umuhimu wa nidhamu kwenye chama
 
Zanzibar ni koloni letu la kudumu....na baadhi ya Wanzanzibar kama wewe ni watumwa wetu wa kudumu.
Je, unalingine?[/QUOT

mimi ni Mtanganyika na nilishawahi kulelewa kule Zanzibar miaka ya 85 mpaka 95 nikiwa kama mfanyakazi wa ndani katika nyumba ya Wapemba miaka hiyo watanganyika wengi sana tulikuwa tunachukuliwa kutoka mikoani na kwenda Zanzibar kufanya kazi za kufua nguo, usafi wa ndani na kwenda sokoni...Vijana wa Kizanzibar miaka ile walikuwa wanatuita sisi ni ma TX:juggle: Kule kisiwani pemba watanganyika wenzetu walikuwa wanafanya kazi za kuchambua karafuu na kuosha vyombo:A S 465:
 
Kwa kweli msafi yeyote hawezi kujoin kisiasa na magamba naamini hii ni moja kati ya kero zilizopelekea cuf kugawanyika, kwani mpinzani wa kweli hawezi kukubali kuitwa ccm B lakini Jamaa wameuchuna tuuuu, yani wako comfortable kweli na Uccm B wao. Ndio maana kina HR, Doyo wakakisanua.[/QUOTE

we kumbe hujui kama nchi karibuni zote Duniani zinaenda kwa Coalition Gorvrment (GNU) isipokuwa Tanganyika tu

we jamaa bado uko nyuma sana kimaisha hata hujui kitu gani kinachoendelea katika ulimwengu huu ukija katika world modern politics,
Fikiria kwanza kabla ya kuja hapa kwa great thinker na mada zako za longo longo???

List of world countries with coalition governments

From Wikipedia, the free encyclopedia

A coalition government is a cabinet of a parliamentary government in which several parties cooperate. The usual reason given for this arrangement is that no party on its own can achieve a majority in the parliament. A coalition government might also be created in a time of national difficulty or crisis, for example during wartime, to give a government the high degree of perceived political legitimacy it desires whilst also playing a role in diminishing internal political strife. In such times, parties have formed all-party coalitions (national unity governments, grand coalitions). If a coalition collapses, a confidence vote is held or a motion of no confidence is taken.
For the purposes of this list, coalitions can come in two forms. The first is produced by two or more parties joining forces after fighting elections separately to form a majority government. However, some coalitions (or alliances) are already decided before elections to give the parties the best chance of immediate government after the election.

Countries:

[edit] Dependencies

[edit] Americas States

[edit] Dependencies

[edit] Africa

  • Zanzibar: Chama cha Mapinduzi CCM, Civic United Front CUF

[edit] Asia

[edit] Oceania

[edit] References

Sisi tutabaki kuwaachia Mafisadi tu na familia zao wazidi kututawala wametawala nchi yetu kama Mafiaso Royal Familly na kuimaliza Tanganyika yetu:juggle:

Fatal5@ hongera kwa kugoogle, Zanzibar ni serikali ya paa moja, hakuna Umoja Wa Kitaifa pale. Google tena ujue cuf imeshika sehemu gani ktk huo muunganiko. Nakuibia ni wana CUF 7tu ndio wako kwny hilo paa.
 
Fatal5
Sifa kubwa ya coalition government inapotokea kutoelewana na kuvunjwa kwa serikali na kuitishwa uchaguzi mpya; swali je CUF ikijitoa kwenye huo mseto kuitafanya serikali ivunjwe na kuitishwa uchaguzi mpya? usichanganye mchanganyiko wa mahindi na maharage ukauita mseto huo unaitwa PURE ama MAKANDE; mseto ni MCHELE na CHOROKO.

Nimekusoma chama, hawa ndio wale wanasifia nyumba kwa nje kisa ina rangi nzuri kumbe ndani choo cha shimo. Information ziko kwny internet lakini unahitaji kuzisoma ndio ujue yaliyomo.
Coalition goverment haijadiliwi na watu wawili wa one side na a group of people ya the other, coz end of a day watalaliwa tu, no matter how strong they are.....watu watacheki weakness zao then watapenya, and that what happened there
 
In the same line of thinking..

Chadema asili yake christian movement, lengo kuu ni wakristo kuhodhi madaraka

Mkisikia waliosoma seminari wanarudisha kadi za cdm then will have sometihn to..

tutafika tu..

Adui yenu namba moja ni Ismail Jussa aliyeropoka bila aibu kwamba sababu ya CUF kushindwa Uzini ni Ukristo na Ubara
 
Adui yenu namba moja ni Ismail Jussa aliyeropoka bila aibu kwamba sababu ya CUF kushindwa Uzini ni Ukristo na Ubara

Kwa kauli za Jusa ameonyesha ubaguzi na uadui wake wa muungano, Nachelea kusema hata kwny uchaguzi Uzini ubaguzi wake wakiitikadi na kiimani ndio uliopelekea CUF kugalagazwa kwa kiwango kile pamoja na kuwa wamepoteza mvuto wao wakisiasa. Just imagine Jusa huyu anayezungumza Ukristo na Ubara halafu at the sametime awe against Mohd Raza (mshindi-Uzini) ambaye ni kiongozi wake wa kiimani katika jumuiya yao ile ya washia.
Kwa Ubaguzi alouonyesha binafsi sihitaji mtu kunieleza Kwamba ali'base upande upi hapo....kwa yule mama yao walomsimamisha ama huyu Bosi wake Raza.
 
Acha kuwa mpemba mbishi,utakuwa mpemba mbichi!: mtoto hapimwi kwa wemba,ukitaka jua mtoto kakua mwachie mkeo usipokuta mimba jua huyo mtoto kweli
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom