Adam Nditi CHELSEA…(Mtanzania)

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
ADAM NDITI: MTANZANIA ANAYEKIPIGA

Mchezaji wa Chelsea, Adam Nditi akiwa uwanjani na timu yake wakati wa mechi ya Kombe la FA kwa vijana kati ya Chelsea na Arsenal mchezo uliopigwa katika uwanja wa Stamford Bridge Januari 20, 2011 mjini London, England
 
Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.
 
Adam yuko kwenye chelsea's academy team na alijiunga na hi academy mwaka 2008 akitokea tz. Anacheza nafasi y a attacking midfilder japokuwa kuna wakati anachezwa kama full beki.Gemu yake ya kwanza ilikuwa ni dhidi ya totenham-spurs msimu huu wa mwaka 2010-2011.kwa sasa adam hana mkataba rasmi na chelsea kwani bado anasoma ukiachilia swala la soka.Adam hajawai kujihusisha na timu ya taifa lakin kwa sasa anaweza kuitwa kutokana na kiwango chake kukua kwa kasi.
 
Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.

Huyu walimchukua timu ya mtaani UK so hajalipiwa hata senti, wazazi wake waliamia UK miaka iliyopita so ni mtanzania kwa kuzaliwa ila ni Mbritish kwa uraia.
Last time nilimsoma miaka michache iliyopita alikuwa under 16. Check kwenye website ya Chelsea utapata data zote
 
Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.

Msije mkam-Hashim na huyu jamani. Mwacheni aendelee kama alivyoanza.
 
Hongera Nditi.

Kuna kijana mwingine wa kiTanzania nilimuona Holland katika uwanja wa Ajax (2008), akipachika mabao manne peke yake, yeye alikuwa akiichezea timu ya kombaini ya shule za Scotland na walikuwa ziarani Holland wakicheza na kombaini ya shule za Holland. Alikuwa mkali sana uwanjani.

Huyu yuko katika ukoo wa yule aliyekuwa Manager wa Simba enzi hizo, Muchacho.

Sijui wenye habari zake, niliongea nae baada ya mechi akaniambia anaitwa Fahd Muchacho na anaishi Glasgow na wazee wake na wakati huo alikuwa anasoma huko na alinidokeza kuwa yule mwimbaji maarufu wa Taarab Sabah Muchacho ni anti wake.

Jee, kuna mwenye habari zake huyu? Au Iliishia kucheza shule tu au aliendelea?
 
pia alikuwepo kijana anaitwa Suleiman Leluu yeye alikuwa akichezea coventry city academy.Nakumbuka watu waliwahi kujadili hapa.Hivi maendeleo yake vipi kuna mtu mwenye data
 
Mwacheni dogo akipige,ataamua yeye wapi achezee...
Pamoja na hayo TFF wanapaswa kumfuatilia kwa ukaribu kama tunamuhitaji, isije kuwa kama M-danish Mtiliga, japo tunaweza kuacha akacheza timu za vijana za England, baadae tukamshawishi vinginevyo Zanzibar Heroes watatupiga bao!!
 
TFF wamwache kijana ale maisha ughaibuni kwani nina hofu watamwalribu kijana wa watu.
 
Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.
Hapo kwenye nyekundu ukishajua ndio utafanya nin?

Adam atakuja kuwa kama Danny Welbeck tu, isitoshe uamuzi wa kuchezea timu ya Taifa lipi/gani ni wake na familia yake.
 
Ni habari njema...kwa sisi washabiki wa soka inafurahisha kuona mchezaji kutoka taifa lako anacheza ktk timu unayoishabikia...tumtakie mafanikio mema.
 
Huu uzi ni wa mwaka 2011 miaka mi 4 imepita. kwa bahati mbaya,hawa madogo wote hawajasikika,sio nditi,sulieman laluu,mbwana samatta,wala muchacho,wachezaji wenye asili ya tz wanatatizo gani
cc Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:

enlightment on self awareness and determination.OVER
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom