Adam Malima avuruga Maisha Plus.

Mambo ya ngoswe hayo.... naona siasa ina nguvu sana
 
Hakutangaza kugombea Urais? mimi nawashangaa sana watu badala ya kuwaomba watu kama kina Kimey au Manji au Mengi ndio wawazindulie hizi project wao wameng'ang'ana na wanasiasa!! usikute macho yake yalikuwa kwa warembo tu.

naunga hoja....project inataka siasa ama mwenye pesa?...jibu...pesa ...na si kila mwanasiasa anaweza influence pesa especially kama huyo malima ...analima nini kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…