Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

Labda walikua wanafanyana sana kipindi cha hapo kabla ya kujifungua ndio maana jamaa kaathirika sana kukosa papuchi kwa muda mchache hawezi mpaka atumie silaha nk lakini watu wana maajabu.
 
Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.

Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Sasa hapa umeongea nini?
 
Haujasoma vizuri. Amesema kuwa mwanamke ana siku 30 tokea alipojifungua. Hivi unajua mwanamke anaetoka kujifungua anakuwa katika hali gani ?!

Kwa kifupi mwanamke akijifungua anatakiwa kukaushiwa na mwanaume wake kwa at least siku 40+ hadi akae sawa kimwili ili kupata tena hamu ya kufanya na mwili kuwa stable baada ya kupona njia ya mtoto.

Hii nic automatic na ndio maana mwanamke akijifungua mtoto utaona anakuwa rafu na hakupi attention ili umpe distance na mtoto kwa wakati huo mtoto akiwa ana karibia zile siku 40.

Hii elimu watoto wa kiume wapewe mapema kabla ya kuingia katika ndoa.....itasaidia kuelewa namna ya kuhandle

Mambo mengine ni kujiendekeza tu. Unashindwa hata kijilipua moja la fasta bafuni na sabuni kupunguza hamu?!

Tukae na watoto wa watu vizuri na kuwajali sio kuanzisha makelele yasiyo na sababu za msingi.
Siku nyingine akili inakukaaga sawa
 
Umeongea Fact mkuu. Kuna elimu vijana wanatakiwa kuipata kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Kuna mbinu nyingi tuu mwanaume anaweza kutumia ili kuzikabili hisia zake. Anaweza kujikaza kisabuni, anaweza kumwachia mwanamke chumba kwa muda naye akalala chumba kingine (Kama kipo), lakini pia ipo mbinu maarufu ya kumpeleka mwanamke kwenu mwanaume au kwao mwanamke kwa kipindi Cha uzazi.
 
Back
Top Bottom