Adai Talaka kwa kudhani mume ni shoga!

duhhh hii hatari..
sijui hata ni seme nini...
nahitaji time out kwanza ........lol
 
za mwizi ni 40, we mtu umemshauri mara kadhaa aachane na hayo mambo hataki matokeo yake ndio hayo!
na huyo Jo alifanya kusudi kutuma msg ya hivyo labda naye anataka kuwa maza house.......... shoga yako kabisa!!!!! unaenda kumuangalizia watoto kama hayupo leo unamchukulia na mume!!!:redfaces::redfaces::redfaces:
 
any way ni siku za mwisho hatu shangai sana maandiko ya Biblia lazima yatimie kwamba muyaonapo haya uje kuwa Yesu yu karibu kurudi.
 
Mbinu ya kivita....crazy but may help...!!

-aitwe faragha yeye,mkewe na watu wazima...!!
- avue ngo zote na ainame bicha ikaribie magoti.... wkati huo mgongo uwaelekee nyinyi....
-mwamrisheni akohoe mara tatu...

vibration vya eneo la 'tuhuma' zitakupeni majibu sawia...!!!:teeth:
 
duhh, MUSINGA ulikuwa unalengo gan kumtia kidole dume lako? Hawa wadada wa siku hizi naona wanalengo baya na wanaume...kama unamlamba nyuma den unakuja kumsema kuwa shoga hapo haijatulia. MESSAGE TO OL MEN DONT ALLOW UR GAL TO TOUCH sehemu zako za nyuma.
 
Hapa kuna utata "loved the blowjob" , iweje demu aseme hivyo bila kuweka alama ya ?, haponaona kama ni dume lina shukuru kwa kupewa BJ, huyo jama ni shoga ,hiyo msg imekaa kidume dume, mademu wachache wanaweza andika maneno mazito hivyo.
Hii kauli kwenye bold ndio imenitatiza hata mimi, nilimuuliza Jo kwanini atumie maneno hayo? Alinijibu anapenda tu ufundi wa kukamata microphone.
 
za mwizi ni 40, we mtu umemshauri mara kadhaa aachane na hayo mambo hataki matokeo yake ndio hayo!
na huyo Jo alifanya kusudi kutuma msg ya hivyo labda naye anataka kuwa maza house.......... shoga yako kabisa!!!!! unaenda kumuangalizia watoto kama hayupo leo unamchukulia na mume!!!:redfaces::redfaces::redfaces:
Hata mimi nimejenga mawazo hayo, Jo ana lengo lake ila hakupenda kujionesha na kutambulika kwamba yeye ndie kivunja-nyumba
 
duhh, MUSINGA ulikuwa unalengo gan kumtia kidole dume lako? Hawa wadada wa siku hizi naona wanalengo baya na wanaume...kama unamlamba nyuma den unakuja kumsema kuwa shoga hapo haijatulia. MESSAGE TO OL MEN DONT ALLOW UR GAL TO TOUCH sehemu zako za nyuma.

mhh sijasema mume wangu ni shoga jamani usinilishe maneno,na wala siwezi kumsema mbele ya hata mamangu mzazi sembuse JF,yeye ni kila kitu changu.
 
wala sitaki radhi,
kulambwa haijalishi unalambwa na nani...,
sehemu iko nyuma,meaning wote mna element za u gay!
kama unalambwa na mwanamke good!
ila ukiona mwenzio analambwa na mwanaume ila sehemu pia usishangae!:redfaces::bump:

Ushoga ni hali ya kutamani na kuvutiwa na mtu wa jinsia yako yaani mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke.Bila matamanio au kuvutiwa na mtu wa jinsia yako huwezi kua shoga hata kama ni unapenda kuingizwa vidole au kulambwa sehemu za nyuma na mtu ambaye sio wa jinsia yako.
 
Hapa kuna utata "loved the blowjob" , iweje demu aseme hivyo bila kuweka alama ya ?, haponaona kama ni dume lina shukuru kwa kupewa BJ, huyo jama ni shoga ,hiyo msg imekaa kidume dume, mademu wachache wanaweza andika maneno mazito hivyo.
jamani na mie hapo ndo pangenifanya niamini kuwa jamaa ni mpunga.au kuna wanawakae wanapewa blowjob siku hizi jamani?dunia kwisney,period.
 
Hii kauli kwenye bold ndio imenitatiza hata mimi, nilimuuliza Jo kwanini atumie maneno hayo? Alinijibu anapenda tu ufundi wa kukamata microphone.

mpendwa unamtetea rafiki yako lkn something is not right,i can feel it ,kutokana na hiyo text.
 
Mwambie bingwa aseme kinaga ubaga kwa wife kuhusu Josh mmmmmh! no nani huyu anaitwaa Joanna ili kumaliza mambo! jitahidi kumtetea tena ila umpe an ultimatum kuwa hutomtetea tena in the future! maana nae kazoea ku play!
 
duhh, MUSINGA ulikuwa unalengo gan kumtia kidole dume lako? Hawa wadada wa siku hizi naona wanalengo baya na wanaume...kama unamlamba nyuma den unakuja kumsema kuwa shoga hapo haijatulia. MESSAGE TO OL MEN DONT ALLOW UR GAL TO TOUCH sehemu zako za nyuma.

i aint give a shit...who touches ma behind...kudadadeki..ntageuka na mind blowing ngumi!
 
Mbinu ya kivita....crazy but may help...!!

-aitwe faragha yeye,mkewe na watu wazima...!!
- avue ngo zote na ainame bicha ikaribie magoti.... wkati huo mgongo uwaelekee nyinyi....
-mwamrisheni akohoe mara tatu...

vibration vya eneo la 'tuhuma' zitakupeni majibu sawia...!!!:teeth:
duh Mkeshahoi umekulia Mombasa nn? maana hiyo test lazima utakuwa unawajua mashoga vizuri sana
 
Simple, mwambie shemeji yako apige hiyo namba ya Joshua kwa kutumia simu yake yeye. Patachimbika kiaina lakini ndoa itarudi na urafiki na huyo Jo ndo basi tena.
 
Hapo hakuna mwanaume aisee atimki mbali kabisa yaani anakuwa huru kiasi hicho mbele ya mkewe ni tabia mabya sana hiyo. aaaahhhkk wanaume kazi ipo mpaka siku ya mwisho tutaoana mengi
 
Mbinu ya kivita....crazy but may help...!!

-aitwe faragha yeye,mkewe na watu wazima...!!
- avue ngo zote na ainame bicha ikaribie magoti.... wkati huo mgongo uwaelekee nyinyi....
-mwamrisheni akohoe mara tatu...

vibration vya eneo la 'tuhuma' zitakupeni majibu sawia...!!!:teeth:

Naskia hii ni sehemu ya intavyuu za jeshini...
 
Back
Top Bottom