Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,630
- 4,691
Serikali imewaruhusu Waislam kukashifu Ukristo na Wakristo. Kwa wale ambao wanapita Ubungo , Manzese, Tabata na sehemu mbalimbali katika jiji la DSM waislam wametundika vipaza sauti wakiwatukana Wakristu na imani ya Kikristu. Serikali imekaa kimya. Sina mtu mwingine wa kumbebesha lawama bali Rais Kikwete.
Hivi kama Rais angekemea na kutaka vyombo vya dola vigefanya kazi ya kudhibiti miohadhara hii ya kuchochea uvunjifu wa amani. Haki ya kukashifu Ukristo na Wakristo wamepewa Waislam.
Ikumbukwe kwamba uvumilivu una mwisho. Nawaomba Waislam wakumbuke kitu kinaitwa CRUSADE.
Kama wewe unavyosikia uchungu dini yako ikikashifiwa ndio hivyo hivyo Waislamu wanasikia... fuatilia thread hii na nyingine humu JF kwa miaka mingi utaona ni namna gani Uislamu na Waislamu wamekuwa wakikashifiwa...naomba na wewe ukumbuke kitu kinaitwa Jihad!
ukitaka uheshimiwe wewe kuwa na heshima, heshima si ya upande mmoja!