Ad hoc cabinet meeting tommorrow morning

Ad hoc cabinet meeting tommorrow morning

Status
Not open for further replies.
AKSANTE MKUU, PILI MIMI KM MWISLAM NAWASHUKURU SANA WAKRISTU KWA KUYACHUKULIA MATUKIO AYA KWA BUSARA KUBWA PIA SUBIRA, KWA KUWA SERIKALI INAWAJIBIKA KUWALINDA WANANCHI WAKE IVYO INAWAJIBIKA KWA KILA KHALI KUFIDIA UARIFU WALOFANYIWA WAKRISTU O.w SERIKALI LZM IPELEKWE MAHAKAMANI NA ATA THE HAGUE MAANA MAJAJICCM WAWEZA KUCHAKACHUa

Wakristu hatuna haja ya kufidiwa na Serikali, tutajenga makanisa kwa kazi za mikono yetu kwa uweza wa Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu.

Uvumilivu wetu umekaribia kufika mwisho na kwa majivu ya Madhabahu Takatifu Taifa jipya linakwenda kupatikana.
 
Huwa inaniuma sana ninapopita mida ya jioni maeneo ya Mwenge stand, au ubungo mataa na kukuta muhadhara wa waislamu ukiendelea ambapo mada kuu huwa ni kashfa dhidi ya ukristo. Muda wote huwa wanajadiri ukristo na Hasa Maisha ya Yesu Kristo. Kuna muda wanafikia kusema Yesu alikuwa shoga n.k. Sasa cha kujiuliza Kama na sisi wakristo tungeamua kuchukua hatua nadhani amani ingetoweka.
Inatia kichefuchefu sana

Mkuu ukifikilia jinsi mambo haya ya mihadhala yalivyo anza kidogo kidogo mpaka inafikia hatua ya kushamiri, mtu unajiuliza maswali mengi - hivi jamaa hawa ujasiri wa kukashfu DINI nyingine with impunity wanautoa WAPI, we fikilia hapo Stand ya Mwenge kuna askali kanzu, Polisi wa kawaida na matraffic kwa nini wanaruhusu watu wachache wafanye watakaro as if hakuna utawala wa sheria.

Mimi sina tatizo nao kama wanahubiri mambo ya Quran na uzuri wa uislaam, nisicho elewa ni hiki cha kujadiri/kashfu Ukristo na maisha ya Yesu, tumelezwa kwamba Mtume Mohammed S.A.W alikuja Duniani baada ya miaka karibu mia nne(karene nne) kupita baada ya Yesu kuhaga Dunia, si hilo tu hata Mtume mwenyewe alikili kwamba Yesu alikuwa ni mtu wa Mungu/Mtume/Nabii kama YEYE na Waislaam wengi wana amini hivyo kwamba ISAH alikuwa NABII -sasa tatizo liko WAPI?

Mimi nawashauri kama wana madahi basi waibane Serikali iwape stahiki zao, lakini mambo ya kuendeleza mihadhala ya kumkashfu YESU na ukristo siyo fresh hata kidogo - AMANI counts a LOT.
 
hii ndio broken news mkuu, umebutua kinoma

back to topic: I dont expect anything from the meeting zaidi ya vitumbua na vibua kuliwa basi... Na tumilioni tunane kuandikwa kwenye expenses report

otesha mti mwenyewe palilia acha ukue ukiingiza mizizi kwenye baraza ya nyumba yako kaa vikao na familia angalia namna ya kuufanya kwa natarajio utarekebika mhuuuu......
 
​As for the information received from the reliable sources within the State House, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19Th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos and uprisings both in Tanzania main land an Zanzibar.

My informer told me some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time with no proper methods to curb its recently impact.

nitwapa muhutasari kesho.

Hebu tupe list ya cabinet member by their religious affiliation, kisha ndio tutatambua hiyo "most of them condemn the highest authority for nursing the situation ........ ina base wapi.
 
Kwa nini hukumkamata au kutoa taarifa vyombo vya dola? inabidi ukamatwe wewe kwa taarifa za kichochezi kama ulikaa kimya kwenye tukio basi endelea hivyo hivyo usitake kuleta ujinga wako humu....
 
Though I'm not fond of Lowassa, I wish he was still a Prime Minister things would have not reached this far! just thinking aloud
 
​As for the information received from the reliable sources within the State House, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19Th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos and uprisings both in Tanzania main land an Zanzibar.

My informer told me some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time with no proper methods to curb its recently impact.

nitwapa muhutasari kesho.

Kama kawa wataibuka na suluhisho kuwa ni upepo tu utapita!!!!
 
Mwinyi ni kiongozi shupavu ndo maana aliweza kuikabili misukosuko yote ya kidini. Mwinyi alikuwa kiongozi wa Watanzania wote na hakuwa akiwalea wanaharakati(Magaidi) wa kiislamu kama tunavyoshuhudia kwa sasa. Mungu amlinde na kumuongezea maisha marefu mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Watanzania wataendelea kukupenda kwa kusimamia umoja badala ya siasa zenye kuegemea UDINI.
Mimi nadhani ni udhaifu tu wa JK na waziri mkuu (ambaye yupoyupo tu). Mwinyi na Mrema enzi zao waliifuta Balukta (ya Sheikh Yahya Hussein) na kumnyamazisha Ponda na mambo yakawa shwari.
 
hakika Mungu hapendi ila sasa kifuatacho sijui nini
 
Huyu Kikwete anaanza kuendesha nchi kama Idd Amin. Enzi zile Amin alikuwa akitoka nje tu mauaji ya kutisha yanatokea.

Angalia issue zoote za kutisha zinazotokea kama kikwete anakuwepo nchini!

Migomo ya madaktari, maandamano na bado akirudi anachekacheka tu. Rais hukupigiwa kura ili utuoneshe meno yako, tunakutaka uwe serious hapa. Hakuna aliyesalama katika nchi hii, unataka hadi mwanao achinjwe ndo uone hali ni mbaya? Narudia tena hakuna aliyesalama hapa! Kama kauawa kamanda polisi wa mkoa ni nani atakuwa safe? Hapa issue ni timing tu. Kama hamuoni uchungu watoto wa wenzenu wanapochinjwa kama kuku sasa tutaanza kuwatafuta wa kwenu.
 
Nami nakubali kwani wote watakaohudhuria ni appointees wa presida. Hawana guts za kupa za usoni kwani cheo kinaweza kudondoka.
 
Hivi tulishika nafasi ya ngapi kwenye MO IBRAHIM? Hata safu tuliyonayo ya uongozi inachangia tuporomoke. Kuporomoka kwa TZ ni kwa kila kitu elimu,michezo, utawala bora, umahiri wa viongozi, n.k.
 
I don't expect anything positive from this meeting. They will eventually agree on the views of the Prezzo. We all know where he stands on these matters. Nothing will be solved by this meeting. A waste of time & resources.
 
Mkuu ukifikilia jinsi mambo haya ya mihadhala yalivyo anza kidogo kidogo mpaka inafikia hatua ya kushamiri, mtu unajiuliza maswali mengi - hivi jamaa hawa ujasiri wa kukashfu DINI nyingine with impunity wanautoa WAPI, we fikilia hapo Stand ya Mwenge kuna askali kanzu, Polisi wa kawaida na matraffic kwa nini wanaruhusu watu wachache wafanye watakaro as if hakuna utawala wa sheria.

Mimi sina tatizo nao kama wanahubiri mambo ya Quran na uzuri wa uislaam, nisicho elewa ni hiki cha kujadiri/kashfu Ukristo na maisha ya Yesu, tumelezwa kwamba Mtume Mohammed S.A.W alikuja Duniani baada ya miaka karibu mia nne(karene nne) kupita baada ya Yesu kuhaga Dunia, si hilo tu hata Mtume mwenyewe alikili kwamba Yesu alikuwa ni mtu wa Mungu/Mtume/Nabii kama YEYE na Waislaam wengi wana amini hivyo kwamba ISAH alikuwa NABII -sasa tatizo liko WAPI?

Mimi nawashauri kama wana madahi basi waibane Serikali iwape stahiki zao, lakini mambo ya kuendeleza mihadhala ya kumkashfu YESU na ukristo siyo fresh hata kidogo - AMANI counts a LOT.
Nakumbuka Enzi za Mwinyi, Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala alikabiliana nayo, lakini Mkuu wa Mkoa nakumbuka ni Mary Chips alitofautiana naye, ikaishia Jenerali Kupigwa Transfer Singida, naye akachomoa akaamua kuwa mjasiriamali. Big Up Jenerali uliona mbali. and down to Chips and the like.
 
AKSANTE MKUU, PILI MIMI KM MWISLAM NAWASHUKURU SANA WAKRISTU KWA KUYACHUKULIA MATUKIO AYA KWA BUSARA KUBWA PIA SUBIRA, KWA KUWA SERIKALI INAWAJIBIKA KUWALINDA WANANCHI WAKE IVYO INAWAJIBIKA KWA KILA KHALI KUFIDIA UARIFU WALOFANYIWA WAKRISTU O.w SERIKALI LZM IPELEKWE MAHAKAMANI NA ATA THE HAGUE MAANA MAJAJICCM WAWEZA KUCHAKACHUa

Mngekuwa wengi kama wewe wenye uelewa huu, leo isingeia kwenye historia hii!
 
Jamani watu tunahitaji kusoma "between the lines"

Vurugu za kidini - labda kwa Zanzibar, ila kwa Dar, Serikali na Waislam mna kazi! mana

Vibaka wameji - disguise kama waislam na kuleta fujo.

Swali la 2, kwa nini vijana, vibaka! na kwa nini wajifanye/ au watumie mwanya wa "uislam"?

Mimi sina jibu wakuu Wa ki-islam tafuteni jibu. Kwa serikali wajua hivi sasa vijana ambao hawana la kufanya mjini ni bomu, na wanasumbua mno, tukiwalea tunaona!!!

Vitu kama kipande system, inabidi virudi!!! - kama huna kazi je mjini unafuata nini, na kijiegesha maeneo ya misikitini - ili ukiulizwa unasingizia unasubiria swala... mh!!
 
pamoja na kwamba chombo hiki hushauri rais juu ya mambo mazito min sina imani nao na mawaziri hawa kutokana na kukosa ujasiri wa dhati kujadili hili suala kwa wengine kupata vyeo hivyo kwa kujuana ila ngoja tuone wataazimia nini .busara zaidi itumike kuliko nguvu .
 
Nakumbuka Enzi za Mwinyi, Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala alikabiliana nayo, lakini Mkuu wa Mkoa nakumbuka ni Mary Chips alitofautiana naye, ikaishia Jenerali Kupigwa Transfer Singida, naye akachomoa akaamua kuwa mjasiriamali. Big Up Jenerali uliona mbali. and down to Chips and the like.

Ni kweli Jenerali Ulimwengu akili zake zinachemka sana, anaona mbali mkuu - na sijuhi kama watu wanajua kwamba ni muumini mzuri wa DINI ya Kislaam lakini hilo alikumfanya afumbie macho mambo ya "Religious Fanaticism" alijua fika aki-entertain mambo kama hayo yatakuja kutu cost an arm and leg in a long run - na huko ndiko tunako elekea kama Serikali yetu itazembea ku - NIP it in the BUD so that it does not become ingrained, issues are easier to sort out the earlier they are addressed. Kiswahili changu siyo kizuri sana lakini tukumbuke kuna msemo usemao Chelea chelea utakuta.......
 
Jamani watu tunahitaji kusoma "between the lines"

Vurugu za kidini - labda kwa Zanzibar, ila kwa Dar, Serikali na Waislam mna kazi! mana

Vibaka wameji - disguise kama waislam na kuleta fujo.

Swali la 2, kwa nini vijana, vibaka! na kwa nini wajifanye/ au watumie mwanya wa "uislam"?

Mimi sina jibu wakuu Wa ki-islam tafuteni jibu. Kwa serikali wajua hivi sasa vijana ambao hawana la kufanya mjini ni bomu, na wanasumbua mno, tukiwalea tunaona!!!

Vitu kama kipande system, inabidi virudi!!! - kama huna kazi je mjini unafuata nini, na kijiegesha maeneo ya misikitini - ili ukiulizwa unasingizia unasubiria swala... mh!!

A good observation MKUU, vijana wenye nia mbaya wanaweza kabisa ku-exploit nafasi hiyo kufanya uharifu; na actually ukiangalia kwa makini utaona majority ya raia wanao taka kuandamana ni VIJANA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom