"RELIGION IS THE OPIUM OF THE POOR" - Karl Marx. Ukiona DINI inashamiri sana ujue kwamba jamii hiyo kuna ufukara na ujinga wa kutisha. Secondly ukiona mtu ana hoja zenye misingi ya kidini, ujue kuwa kichwani amefilisika kabisa. Brain activity is 0.
​some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time
Kheri yao wapatanishi, maana wataitwa wana wa Mungu
​As for the information received from the reliable sources within the State House, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19Th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos and uprisings both in Tanzania main land an Zanzibar.
My informer told me some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time with no proper methods to curb its recently impact.
nitwapa muhutasari kesho.
Kama wameshagawanyika unategemea maamuzi gani wakati serikali imeruhusu redio imaani, waislamu kusali kwakutumia biblia wakati wao nahisi wakisikia wakristo wanaendesha ibada kwakutumia quran sijui itakuwaje.
Wawejibisheni wote si askari tu bali wakuu wa idara mbalimbali waliokuwa wakiruhusu mihadhara ya kichochezi mahala pasipohusu hayo tena mbaya zaidi mihadhara hiyo imehudhuriwa na kuchagizwa na hoja za wanaoitwa wahadhiri
majina mengine bwana, hadi raha...
Yananikumbusha kwetu Kigoma..., eti Kashorobana, Rutashoborwa, Kashaijabutege, n.k. raha sana!
​As for the information received from the reliable sources within the State House, there will be an ad hoc cabinet meeting tomorrow 19Th oct. 2012 , the main agenda being the religious chaos and uprisings both in Tanzania main land an Zanzibar.
My informer told me some of the Cabinet Members are really divided on the situation as most of them condemn the highest authority for nursing the situation for a long time with no proper methods to curb its recently impact.y
nitwapa muhutasari kesho.