Mkuu nyie bado hamjaanza kusherekea
Thanks for the Best wishes of the NEW YEAR!
BTW: As usual Loves so much your graphics and the exploding fire works!(remember the promise?)
With that said?
ME: Wish You The Best Ever!, ... Year 2012!
:lol::lol::lol:....Hamna banaa wewe apply MAC tu...Yani we unaona nahitaji kujipamba kama yule mwimba taarab wa disco lights?
Wewe si nilikuacha umeenda Tandale Mall...Tumeshaanza
wote si tuko jf?
Au wewe unadhani umetuacha wapi?
Leo tunaenda Malaika...nimeishanyoosha nguo zangu kabisa ole wako uniache..wewe pia AD be blessed
Umeishaenda kununua Tandale Mall..
Yule alijifotoshopYani we unaona nahitaji kujipamba kama yule mwimba taarab wa disco lights?
:lol::lol::lol:....Hamna banaa wewe apply MAC tu...
Tumenunua ndimu, chumvi mfuko mzima usisahau na Tequilla shots zitakuweposikosi stock home
japo ya wiki moja
ila mwandae ndimu ya kusukumia
ni kali balaa
bila ndimu tutakata kauli.
Wewe si nilikuacha umeenda Tandale Mall...
Hahahahaha!! Mkuu sikuweza kuvumilia kwa kweli maana kila saa mate yalikuwa yananitoka kwahiyo nakula portion kidogo kidogo hadi ameisha....leo nitakuwekea mwingine tena..lol
Dj Klorokwin atakuwa amepata tenda ya kupiga muziki kwenye Disco....CLUB TANDALE NUMBER ONEdj klorokwini simuoni......
Leo tunaenda Malaika...nimeishanyoosha nguo zangu kabisa ole wako uniache..
Ahaaaa...hilo nililetewa zawadi na Fally IpupaTatizo hilo shati lako la kitenge lina rangi za kipedeshee
Vaa fulana angalau
Ahaaaa...hilo nililetewa zawadi na Fally Ipupa
Kumbe wewe ndio unaanda mikakati eheeeeUsilalamike yule mtu akikutoroka.
Nimekushauri hutaki kusikia
Kumbe wewe ndio unaanda mikakati eheeee