He didn't know .There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Time will tell 😀😀😀We malaya unachojua ni kujiuza
It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Haha! ndugu unahakika na unachokiandika..?It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.
P
Hakuna raisi pale , pale kulikuwa na kiranja tuuMh! ukute nchi ndo haikumfaa nafikiri yule angekuwa kwenye nchi ambayo ipo serious angeifikisha mbali!, lakini alikuwa akipambania rasilimali hapohapo watu wa humuhumu ndani wanampinga!.
Mi naona kama nchi ndo haikuwa tayari kuwa na kiongozi wa namna yake maana imejaa wahujumu uchumi tupu!, hata hivyo nimeshangaa ulipoonyesha kama kifo ndio sababu ya yeye kuwa kama hitimisho la uongozi wake!. Ndugu sote tutakufa tu so please don't take it as a judgement.
Sasa nani raisHakuna raisi pale , pale kulikuwa na kiranja tuu
Haya hao mnaowaita marais mbona kiranja kwa muda wake wa miaka 5 aliwapiku mbali sana kiasi kwamba ikianzishwa poll hapa unakuta ana-compete na muasisi wa taifa hili,alikuwa ana mapungufu yake lakini haitoondoa kwamba ni moja ya mtu aliefanya vizur sana katika taifa letu kwa ngazi ya urais.Hakuna raisi pale , pale kulikuwa na kiranja tuu
There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Siwezi kukubaliana na wewe. Was very presidential and visionary, expirer, - honest. Lakini, alikuwa hana human rights, hii alipuuza sana. Kama walivyo maRais wa nchi nyingi za kikomunist, na nchi kama Singapore, Saudi na UAE wote wauaji lakini wanawatukuza Marekani.There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Wazazi wako wapo hai?There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not where to start and where to end.
Mungu ndiye anayesababisha tusiwe na uchaguzi wa uhuru na haki?maana kama kila kitu ni Mungu basi Chadema kingekuwa kinaongoza inchi,It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.
Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.
Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.
Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa - Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
P