Actress Diana Rigg passed away at 82

Ubaya wake nini? She aged graceful ,a beautiful granny at 88yrs .
Blessed in every way kusema uzee mbaya lazima uwe na kitu kimoja cha ovyo sana katika peraonality yako sipati picha unavyowaangalia bibi na babu zako do you feel the love for them?
88 umeitoa wapi?
 
Yaan mineno inavyokutoka mtoto wa kiume utadhani mwajuma ndala ndefu mfyuu

Kama hujaelewa nilichokimaanisha si ungeuliza kama wanaume wengine rijali hapo juu? Lione
Na kupotosha juu, kashampa umri wa miaka 88.
 
Back
Top Bottom