CDM hawataki kusikia habari za ACT!
Kati ya ACT na chadema ipi ina nguvu kuliko mwenzakeNa ACT bila kuitaja CHADEMA haisikiki?
Hivi ACT ipo kigoma tu? Samsoni mwigamba naye ni mhutu?Hiki chama ni tishio kwa vyama vya siasa nchini, ni adui anayepuuzwa.
Leo mjini Kigoma,Ujiji kwenye mkutano wa hadhara, viongozi wa chama hicho wamevunja ngome za vyama vikubwa hapa nchini CCM na CHADEMA ambapo tawi zima la CCM limegeuka kuwa ACT huku ngome kongwe ya CHADEMA,tawi/kijiwe cha Gungu kikijibadilisha na kuwa ACT.
Hicho ni kijiwe maarufu mjini Kigoma ambapo ndio kitovu cha siasa za mkoa huo. ACT imezoa wanachama wa CCM na CHADEMA, kusema kweli imejiimarisha Kigoma.
Katibu Mkuu ACT, SAMSON MWIGAMBA akifungua Tawi la Gungu Kigoma Mjini
Kati ya ACT na chadema ipi ina nguvu kuliko mwenzake
CDM hawataki kusikia habari za ACT!
Hii ACT inapuuzwa puuzwa lakini ni moto
mkutano wa ACT-TANZANIA uliofanyika mapema leo Kigoma katika viwanja vya community center Mwanga huyo ni Mzalendo Mwenyikiti wa chama Kadawi Limbu.
Zaidi ya wanachama 531 kutoka vyama mbalimbali wamekabidhiwa kadi leo mchana mkoani kigoma,wakiwemo waliokuwa viongozi wa chadema kitaifa na mkoa.
Kama huna macho hata pua huna? Basi papasaMbona hao miatano hawaonekani katika picha? Walisilimishwa kwenda ACT ndani ya nyumba zao kama ndoa za mikeka?
Na ole wako ung'ang'anie, tunakula kichwaACT akichukua hata kata moja mkoa wote wa kigoma mimi nahamia somalia